Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Senzo unazo lakini?Naona GSM wana wapoooza MACHUNGU.
Hii ya morrison itawauma mpaka mnakufaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tunyooshane tu kwa kweli. 😂😂Wekeni bundle wanayanga bado hatujamaliza siku
Wanajifariji tu lakini huyu jamaa ameibadilisha sana Simba.Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!
Ni maneno mazuri lakini kama mtu muhimu kwenye timu asikubali uhuni wa Manara uongoze timu hata kwa asilimia 5.
Kwa haya nyie mnayaweza hamtashindwa kuandamana. 😂Mkimchukua Chama tutaandamana Hadi ofisini kuwafukuza hawa washenzyy..
Nazungumzia pengo lake, si nafasi ya kushtua. Lakini hapo uongozi umezungumzia kushtushwa namna alivyoondoka, kwamba hakukabidhi ofisi, hilo ndilo linaloshtua maana anaweza kuondoka na mihuri 😁Kama uongozi tu umeshituka wewe ni nani Mtani hadi usishituke? 😂
Leo lazima walazwe. 😂😂😂😂😂Clatous Chota Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Habari za Senzo unazo lakini?
Deo Kanda ni mchezaji wa Tp mazembe kama mnataka kumsajili Malizaneni na Mazembe na sio Simba.Deo Kandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
😂😂😂 Mihuri hiyo Kwiiiio 😂😂😂Nazungumzia pengo lake, si nafasi ya kushtua. Lakini hapo uongozi umezungumzia kushtushwa namna alivyoondoka, kwamba hakukabidhi ofisi, hilo ndilo linaloshtua maana anaweza kuondoka na mihuri 😁
Yamekuwa hayooo mmeshaanza kumkana. lol 😂😂😂😂Deo Kanda ni mchezaji wa Tp mazembe kama mnataka kumsajili Malizaneni na Mazembe na sio Simba.
Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!
Ongeza bundle ndugu yangu, wametuchokoza wenyewe. Clatous Chota Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa fundi, Deo Kandaaaaaaaaaaaa, Sure boy, Farid MusaLeo lazima walazwe. 😂😂😂😂😂
Tulia mtani dawa iingie hatujamaliza dose ya chloroquineSimba ni zaidi ya SENZO.
alikuwepo pale kama boya tu lakini mambo yote yalikuwa yanafanywa na SIMBA WENYEWE.
na huwezi kuona pengo lake.
Swali la msingi mnampa cheo gani hapo yanga.?.
Vipi mshindo msola nafasi yake?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Namba ile ile aliyokuwa anaicheza Simba.Kabla ya kumchukua senzo mngejiuliza kwanza mlikosea wapi kwa morrison..mmechukua maamuzi wakati Mna HASIRA ITAWAGHARIMU BAADAE..
HAYA NIAMBIE SENZO ANAENDA KUCHEZA NAMBA NGAPI HAPO YANGA?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kama uongozi tu umeshituka wewe ni nani Mtani hadi usishituke? [emoji23]