Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Picha Linaendelea......Acha Nchi itikisike tu
IMG-20200809-WA0083.jpg
 
Hivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?
Sesten Zakazaka
Troisième Ceil
Penison
Van pebles
Sanchez magoli
Don Clericuzio
Faru Kabula
Albinoomweusi
bila kumsahau yule mjingamimi.

Kimenuka jamani huko eeee. 🤣🤣🤣
Hahahahahahahahah.........Simba ni Taasisi kubwa Shadeeya kujiuzulu kwake haijalishi na wala haituumizi Je,angekufa na Simba ingekufa?? Hatuna muda wa kumuwazia mtu sisi Simba .
Angeondoka Boss MO tungeshtuka lakini Senzo si mtumishi akiondoka unaajili mwingine.
 
Back
Top Bottom