Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uzuri haya mambo huwa yanakuja na kupita Mtani hivyo wala hatuna presha.

Hahahaaaa. Morison kwiiioo. 💃
Presha itakuwepo tu
Huku Morrison Kule konde boy katikati yako chama kwanini presha isiwepo.

Uko sub nje kuna watu kama kahata,kanda, dillunga, miraji athumani.

Afu kwanini huyu jamaa anawauma sana wakati hana nidhamu mtani
 
Hao wote mtawasahau Champions League uwezo wao upo VPL tu.

Unadhania Morison kaniuma sana basi, najikuta tu naumia kwa kutokuuelewa uongozi uliopo sasa pamoja na hao jiesiemu kwani walituaminisha ambayo sio japo waeza sema la Morison lipo tiefuefu na la Tshishimbi je, hapa ndio nawaona wasanii tu na si ajabu kuna wamejazana mamluki mule na lengo ni kuipoteza Yanga mana sio bure aisee.
 
Hahahaha, mtani usiwaze hivyo hii MICHEZO huwa inachezwa sana tu

Hapo watu wamezidiana ujanja ila yana mwisho wake

Inawezekana yanga ya sasa haina wajanja wa mpira watu km akina bin kleb, akina seif magari hawa kona kona wanajua za usafiri

Tofauti na Simba kuna akina magori,Hans na wengine wengi wajanja wa soka la bongo

Sasa yanga hii iliyopooza viongozi akina hersi ,Yanga ambayo hata uongozi tu hauko pamoja kivile sidhani km wataleta ushindani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ndo shida tuliyo nayo sasa Mtani hatuna viongozi wajanja wajanja pia kukosa mkwanja nako pia ni tatizo.
 
Na hii ndo shida tuliyo nayo sasa Mtani hatuna viongozi wajanja wajanja pia mkwanja nao ni tatizo.
Hahahaha mkwanja Upo ila waliokua nao si watoaji wale shemeji zangu wangoni Jiesimu ni wafanyabiashara

Mkiwaweka watu wa mpira Karibu haya matatizo yanaisha

Simba pamoja wako na tajiri ,lkn watu wao wako pale pale ,Morison waliona gap wakalitumia

Ni km kwa Mbuyi Twite Simba au Kelvin Yondan ,watu walicheza na karatasi na pesa ubaoni

Mpira ni zaidi ya ujanja mtani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaeza kuja kuwezekana Mtani hasa pale na sisi Yanga tutakapoingia kwenye mabadiliko na tukawa tunajiendesha kisasa ni lazima tutasimama.

Yanga ni ngumu kumpa timu mtu kama alivyofanya Simba kwa sababu Yanga ni tawi la chama.

Ukisema umkabidhi mtu timu halafu akawa ni wa mrengo tofauti na wa chama italeta shida.

Fatilia vizuri, hata Manji kipindi kile baada ya kuona hilo ndo kuamua kugombea udiwani kupitia chama ili apate nguvu, ila tayari plan ya kumtoa ilikuwa mezani.
 
Hahahaha, Yanga huwa nawafananisha na timu moja Congo inaitwa Fc Lupopo ,ina usiasa wa chama ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui aisee, we jaribu kuangalia, haitokei mara nyingi wote tukawa na amani msimu mzima.
Haiwezi tokea kukawa na Amani pande zote, Kwa sababu kama Yanga watakua wazuri inamaana watafanya vizuri uwanjani na kuchukua ubingwa, ko kwa Simba haiwezi kua na Amani, Afu ukiangalia sisi mashabiki ndo watu tunaovuruga Amani sana, tunahitaji vikubwa bila kuangalia hata uwezo wa timu kiwachezaji na kipesa kwa wakati huo.
 
Hahahaha, Yanga huwa nawafananisha na timu moja Congo inaitwa Fc Lupopo ,ina usiasa wa chama ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitafuta historia ya hizi timu utaona moja ya agenda za nyuma ya pazia ilikuwa ni kujadili issue za ukombozi, kutafuta uhuru.

Sasa hili la wanasiasa kukomaa na timu yao limeendelea kuwepo mpaka leo.

Kwa hiyo jamaa kumkabidhi mtu timu ni ngumu sana.
 
Hahahaha, na ishavikwa timu ya wananchi ,hapo ktk Wana NCHI hapo ndio penyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom