Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Presha itakuwepo tuUzuri haya mambo huwa yanakuja na kupita Mtani hivyo wala hatuna presha.
Hahahaaaa. Morison kwiiioo. 💃
Huku Morrison Kule konde boy katikati yako chama kwanini presha isiwepo.
Uko sub nje kuna watu kama kahata,kanda, dillunga, miraji athumani.
Afu kwanini huyu jamaa anawauma sana wakati hana nidhamu mtani