Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
ko ndio maana yake nini?... kama Yanga watakua wazuri inamaana watafanya vizuri uwanjani na kuchukua ubingwa, ko kwa Simba haiwezi kua na Amani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ko ndio maana yake nini?... kama Yanga watakua wazuri inamaana watafanya vizuri uwanjani na kuchukua ubingwa, ko kwa Simba haiwezi kua na Amani,
Kuna haja ya sisi mashabiki kuwa waelewa na si kutaka Big Result Now ( BRN)ko ndio maana yake nini?
Ni yale yale tu, ni kwamba Simba inaleta mvurugano kati yenu mashabiki na viongozi wenuMikia mnashindwa kutuelewa,sisi wananchi hatusikitiki wala kuumia kutokana na Morrison au Tshishimbi kuja kwenu la hasha! Sisi tunaumia kutokana na uongozi wetu unavyoonekana kutoeleweka. ...
Na wewe endelea kurejea maneno ya GSM kwamba Morrison na Tshishimbi walishasaini mikataba ya miaka miwili hadi 2022Nikisoma maoni ya mbumbumbu, kwa asilimia kubwa wanarejea maneno ya mwalimu nguli wa Madrasa, ndugu Haji
Na wewe endelea kurejea maneno ya GSM kwamba Morrison na Tshishimbi walishasaini mikataba ya miaka miwili hadi 2022
Heri wewe unayeweza kustahimili maumivu yanayotokana na hako kajamaa. Lakini nakuhakikishia bila shaka, hako kajamaa kameumiza mioyo ya wana Yanga wengi mno kutokana na maneno yake, na usidhani umemaliza kazi kwa kuweza kuyahimili, bali bado una kazi nyingine ya kuwatuliza wana Yanga wenzako wengiI'm proud kurejea maneno ya GSM, taasisi kubwa. Sio kurejea maneno ya kajamaa flani ambako kamefika hapo kalipo sababu ya sympathy japo ni kilaza
Heri wewe unayeweza kustahimili maumivu yanayotokana na hako kajamaa. Lakini nakuhakikishia bila shaka, hako kajamaa kameumiza mioyo ya wana Yanga wengi mno kutokana na maneno yake, na usidhani umemaliza kazi kwa kuweza kuyahimili, bali bado una kazi nyingine ya kuwatuliza wana Yanga wenzako wengi
Wakupe wewe? TFF wamesema mkataka wa Morrison na Yanga wa miaka 2 umekabidhiwa Polisi kwa uchunguzi kuona kama kuna forgery au la! Wewe unalazimisha hapa wautoe!!GSM hawana mkataba wa miaka 2 na Morrison HUO NDO UKWELI. KAMA WANAO WAUTOE..
na waseme walimlipa sh ngapi.
Vinginevyo IMETOKA HYO.
MCHEZAJI TAYARI YUPO SIMBA.sisi hatuongei mengi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wakupe wewe? TFF wamesema mkataka wa Morrison na Yanga wa miaka 2 umekabidhiwa Polisi kwa uchunguzi kuona kama kuna forgery au la! Wewe unalazimisha hapa wautoe!!
Usinifokee, sio mimi, ni Mosironi 😁Kilaza haji anipe maumivu ya kustahimili [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Usinifokee, sio mimi, ni Mosironi [emoji16]
[emoji23][emoji23]Kilaza haji anipe maumivu ya kustahimili [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Heri wewe anayekufikisha kileleni kwa maneno yake tu, kiasi cha kudhani anawapa wengine maumivu [emoji41]
Basi tumewaachia kanda sasaHao wote mtawasahau Champions League uwezo wao upo VPL tu.
Unadhania Morison kaniuma sana basi, najikuta tu naumia kwa kutokuuelewa uongozi uliopo sasa pamoja na hao jiesiemu kwani walituaminisha ambayo sio japo waeza sema la Morison lipo tiefuefu na la Tshishimbi je, hapa ndio nawaona wasanii tu na si ajabu kuna wamejazana mamluki mule na lengo ni kuipoteza Yanga mana sio bure aisee.
Usisahau mtendaji mkuu wa mikia kajiuzulu.Basi tumewaachia kanda sasa
Mchezo huu hauitaji hasira, natumai nyoyo zimekunjuka sasa
Amechoka uswahilini wakina MwamediUsisahau mtendaji mkuu wa mikia kajiuzulu.