Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Walinunua bia wakajiona wajaanja

Sawa watu wamenunua bar kabisa

Wajichague nani na nani waje kuwa wahudumu [emoji2]
 
Wanaokoteza okoteza vi screenshots vya chama

Wameshikwa pabaya hawa mbumbumbu [emoji23]
 
Yaani nyani ni nyani tu,
Washapozwa tayari washasahau kama walidanganywa [emoji23][emoji23][emoji23] na hawa GSM,

WASHASAHAU

UMBWA FC
 
Kiukweli simba hii taarifa ya Senzo imewauma ukiangalia michango yao unaona kabisa wanagugumia maumivu..
Simba mjifunze kwamba mkubwa mkubwa tu.
 
Ni zamu ya mioyo yao kufyatuka sasa. πŸ˜€πŸ˜€
Tunaenda kwenye mabadiliko ya kisawa sawa,senzo ana vigezo vyote vya kutupeleka kwenye mabadiliko na ndio maana tumemchukua kufuata maelekezo ya la liga CEO wa aina gani tuwe nae
Yanga inapoelekea iwapo mchakato wao utafanikiwa basi utakua mfano wa kuigwa,nyie mtaendelea na ahadi ya mabadiliko ya b 20 while wenzenu watawekeza zaidi ya b 70,na iko ndicho mo hataki hata kukisikia na anatumia kila ila kugombanisha wanachama na gsm ili gsm asuse,safari hii asusi mtu hadi kieleweke
 
Kwahiyo Senzo anacheza namba ngapi??? [emoji23][emoji23]

Kweli nyinyi uneducated, mmemtimua bure Luc alisema kweli
 
So senzo alikua rais pale mkiani πŸ˜€,hlf kaduguda atakua nani πŸ˜€
 
Respect mkuu kwa kuongea fact, ukweli utatuweka huru.. Ndugu zako wengine maneno mengi ila huu ndio uhalisia, sisemi tu kwa kua amekuja Yanga hata angeenda sehemu nyingine bado huu ungebaki kua uhalisia..
 
Nani ataweka hizo bilioni 70?..
Yaani ukapande mbegu kwenye jangwa?
UTEGEMEE MAVUNO?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…