Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nadhani umeona Jana siku haijaisha yaliyotokea

Sasa na Leo kuna jambo mnafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!

Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!

Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
 
Hahahaha, Mkuu najua simba vzr mno ,hao uliwataja wote mm ni kijana wao toka enzi za FoS

Nachangia kitu nachokijua Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!

Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!

Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
FYI ,Tajiri ana mgwaya Hans , na Hans ndio kila kitu

Kifupi bado Simba haiko ki uweledi ,ni zile tu baadhi mko mbali na yanayoendelea

Hatuwezi kuweka yote hapa sababu mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FYI ,Tajiri ana mgwaya Hans , na Hans ndio kila kitu

Kifupi bado Simba haiko ki uweledi ,ni zile tu baadhi mko mbali na yanayoendelea

Hatuwezi kuweka yote hapa sababu mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe 100%. We still have a long way to go. FoS kama ahawakua wameridhika na kuooteza nafasi yao ya kupiga pale Club na pesa zao walizokua wanikopesha team kwa riba.
 
Ivi Naomba Kufahamu Honestly Nafasi Ya CEO Kwa Yanga Kwa Sasa Ni Nani? Mfumo Ambao Yanga Wanao Wanaruhusu Kuwa CEO
Miaka ya 90 kuja kuja 2,000 ungeambiwa kutakuja kutokee mfumo ambao hauna natural striker ungebisha mpaka miti ikakauka ila leo tuna 4-3-3 na mfumo unaziangamiza timu pinzani. Mfumo utatengenezwa kumu accomodate Senzo
 
Back
Top Bottom