Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaaa. Tutalazwa kwa zamu mwaka huu.

Yaani ni mwendo wa mioyo kufyatuka tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila angalia usije ukaanza kulalamika bdae maana nyie mashabiki wa Utopolo furaha yenu huwa haidumu masaa24[emoji16]
 
Mkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!

Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!

Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
Hahahaaa. Tuhamishie lawama kwa Mamluki kwani kitu gani banaa. 🤣
 
Nakubaliana nawe 100%. We still have a long way to go. FoS kama ahawakua wameridhika na kuooteza nafasi yao ya kupiga pale Club na pesa zao walizokua wanikopesha team kwa riba.
Hahahahaaa. Najiuliza hivi kimalikia kinakujaga muda gani mana naona na wewe umekimwaga leo? 🤣🤣🤣 Ndio machungu ama. 🤣🤣

Mtani Sanchez magoli
 
20200809_220009.jpg
 
Asanteni wananchi kwa kuvaa, kununua, kujichora na kupeana zawadi za jezi za msimu uliopita, tukae tayari kwa jezi nyingine bora kabisa za msimu wa 2020/2021

#DaimaMbeleNyumaMwiko.

@Yangasc
20200810_101857.jpg
 
Back
Top Bottom