Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Ukisikia kupindua meza kibabe ndo uku ngoja tusubiri maanaviroho vinaanza kudundaYaani kabando kangu ka 500 kanakaribia kuisha hapa. Hebu nijiunge jumatatu ndo hii. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia kupindua meza kibabe ndo uku ngoja tusubiri maanaviroho vinaanza kudundaYaani kabando kangu ka 500 kanakaribia kuisha hapa. Hebu nijiunge jumatatu ndo hii. 😂😂😂
Mkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!Nadhani umeona Jana siku haijaisha yaliyotokea
Sasa na Leo kuna jambo mnafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa tunaongoza 2 - 1 😎😎
Hahahaha, Mkuu najua simba vzr mno ,hao uliwataja wote mm ni kijana wao toka enzi za FoSMkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!
Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!
Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
😂😂😂Mbona mkono wa wananiliu eti? 😂😂
FYI ,Tajiri ana mgwaya Hans , na Hans ndio kila kituMkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!
Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!
Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
Senzo ndio anaenda sasa kusimamia Yale mabadiliko lzm waanze na uongozi then washuke chiniIvi Naomba Kufahamu Honestly Nafasi Ya CEO Kwa Yanga Kwa Sasa Ni Nani? Mfumo Ambao Yanga Wanao Wanaruhusu Kuwa CEO
Nakubaliana nawe 100%. We still have a long way to go. FoS kama ahawakua wameridhika na kuooteza nafasi yao ya kupiga pale Club na pesa zao walizokua wanikopesha team kwa riba.FYI ,Tajiri ana mgwaya Hans , na Hans ndio kila kitu
Kifupi bado Simba haiko ki uweledi ,ni zile tu baadhi mko mbali na yanayoendelea
Hatuwezi kuweka yote hapa sababu mambo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona vile raha uliyokua nayo hapo 😀Mutajaa sana kule Taasisi ya Moyo. 😎
Miaka ya 90 kuja kuja 2,000 ungeambiwa kutakuja kutokee mfumo ambao hauna natural striker ungebisha mpaka miti ikakauka ila leo tuna 4-3-3 na mfumo unaziangamiza timu pinzani. Mfumo utatengenezwa kumu accomodate SenzoIvi Naomba Kufahamu Honestly Nafasi Ya CEO Kwa Yanga Kwa Sasa Ni Nani? Mfumo Ambao Yanga Wanao Wanaruhusu Kuwa CEO
Maneno ya wakosaji hayoo. 😎😎
Yaani Mtani leo niko karibu na simu tu. 🤣🤣Nadhani umeona Jana siku haijaisha yaliyotokea
Sasa na Leo kuna jambo mnafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mtani
Hahahaaa. Tutalazwa kwa zamu mwaka huu.Ukisikia kupindua meza kibabe ndo uku ngoja tusubiri maanaviroho vinaanza kudunda
Aisee!! Japo watu wanajifariji kwa kumponda ila jamaa kuna alichokifanya hata kama ni kidogo.Hahaha, noma sana.
Mmepindua meza kibabe sana.
Sawa Mtani
Nani kakwambia na Yanga atakuwa CEO?Ivi Naomba Kufahamu Honestly Nafasi Ya CEO Kwa Yanga Kwa Sasa Ni Nani? Mfumo Ambao Yanga Wanao Wanaruhusu Kuwa CEO