Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaOk Basi Yanga Hata Usajili Wangeanza Na Kocha Ingekuwa Vema Zaidi Sana
MtaniNani kakwambia na Yanga atakuwa CEO?
Hahahaha
Nadhani Senzo ataanza na kocha
Na anaweza kusimama km Katibu Mkuu na Mratibu wa mabadiliko kuelekea wanakotaka Yanga .GSM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm natoa mawazo sipo ktk usimba na u yangaGSM Ndio Nini Kwanini Musitumie Jina La Yanga Huyu Ni Sponsor tu Tena Sio Main Sponsor Mujue Watani
Mtatuviyu sana dhisi taimu. [emoji1787]
Yote yanawezekanaMpaka sasa humu watu wameshindwa kupata maamuzi ya TFF suala la Morrison. Naona kwenye magroup ya whatsap kuna breaking news in favor of wananchi.
Au ndiyo mambo ya fake news
Hahahahahahahahah Mkishinda hii kesi ya Morison leo.Jamani bado hatuwanyoa mikia uko
Tumewazoea,hata yule Mwl wa Madrasa hutoa ahadi mara nyingi tu hatekeleziHahahahahahahahah Mkishinda hii kesi ya Morison leo.
Najipiga BAN ya maisha JF.
Nb.
Ujanja ujanja wenu na GSM leo umefika mwisho.
Watajuana wenyewe sie hatutaki kuendelea nae, tunachotaka tukae na mikia tuwape bei watupe mpunga tuwaachie kimeo ichoKwa hiyo Mpunga aliovuta ataurudisha Kanga moko fc au ndiyo imetoka