Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Admin wenu kaamua KUKATA MZIZI WA FITNA..
Mwenyekiti wetu ni MSHINDO MSOLA HUYO MWINGINE HATUMJUI[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
KAZI IPO.
YA RABB NAOMBA UZIMA
Mtatuviyu sana dhisi taimu. [emoji1787]
Screenshot_20200810-133052.jpg
Screenshot_20200810-133052.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa humu watu wameshindwa kupata maamuzi ya TFF suala la Morrison. Naona kwenye magroup ya whatsap kuna breaking news in favor of wananchi.

Au ndiyo mambo ya fake news
 
Sherehe za kumnyoa mkia. Adi waombe poo safari hi
 

Attachments

  • maneno_nyagaly_20200810_144935_0.mp4
    7.7 MB
Simba ni kikundi cha wahuni tu.
Wamemkurupukia morrison kasepa na mpunga wao 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom