Sasa tupate za nani? nyinyi ndio vichwa pazi mnao sikika kwa sasa, hawa wengine hawana habariTooba!! Na huko unakosikiliza hizo taarifa unazipata za Yanga tu. Lol
Umeona Hashtag hiyo?? Nyinyi hata mshinde huyu hamuwez mpata tenaTukishinda pabaya patakuwa wapi?
Labda tukishindwa ndo waeza sema hivyo mana hatutapumua kwa kelele zenu.
Uko nyuma ya dunia.. hau hata marafiki wakakutumia audio ya msemaji wao ? alikua anahojiwa wasafi,.. Manara kaziweka zote kwa pamoja, Ya Mtibwa na ya azam.. kitenge kaweka pia ila utahangaika tafutaMbona sijaona sehemu Mtibwa wakiiongelea hii?
Sasa kama amefukuzwa sisi wa nn tena, yuko nje ya taasisi tayari huyoNaona kumekucha huko kwenu lakini mpo kimyaaaaa kama hakuna kinachoendelea.
Haya yamwageni hapa yule mliyemfukuzilia mbali huku mkidai alikuwa rafiki wa Senzo kafanyaje eti?
Naona kumekucha huko kwenu lakini mpo kimyaaaaa kama hakuna kinachoendelea.
Haya yamwageni hapa yule mliyemfukuzilia mbali huku mkidai alikuwa rafiki wa Senzo kafanyaje eti?
Mnalo ila niseme tu ni kama mshaanza kuvurugika.Sasa kama amefukuzwa sisi wa nn tena, yuko nje ya taasisi tayari huyo
Ndio mutangaze watu wajue nini kafanya na kwamba sio mmoja wenu now.Sasa kama amefukuzwa sisi wa nn tena, yuko nje ya taasisi tayari huyo
😂😂😂 Mpaka waishe muanze upppyaaaaa.Uongozi wa simba unajua wanachofanya hatuna wasiwasi nao.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mi nikishaonaga vistori anavivalia njuga mtu asiyehusika ili mradi apate cha kuwafurahisha huwa sizitilii manani hata kidogo.Uko nyuma ya dunia.. hau hata marafiki wakakutumia audio ya msemaji wao ? alikua anahojiwa wasafi,.. Manara kaziweka zote kwa pamoja, Ya Mtibwa na ya azam.. kitenge kaweka pia ila utahangaika tafuta
Simba kuvurugika ni Mo kukaa pembeni.. tofaut na hapo sawahau kabisaMnalo ila niseme tu ni kama mshaanza kuvurugika.
Na mtafukuzana sana. [emoji1787]
Tunamuharibia tu. Sasa kama tumeshinda huko Nguvu moja atachezaje? 🤔Umeona Hashtag hiyo?? Nyinyi hata mshinde huyu hamuwez mpata tena View attachment 1534777
Mo bila watendaji? 😳😳😳Simba kuvurugika ni Mo kukaa pembeni.. tofaut na hapo sawahau kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti sijui nani nani kajiuzulu au kafukuzwa utegemee itavurugiwa, anaajiriwa au kuteuliwa mwingine faster tu mambo bam bam...Ukisikia Mo kasepa, hapo kweli tutapoteana..ila hawa wengine??! aawap
Mo si kitu bila hao wanaoondoka na huo ndio ukweli na nikwambie hamna changamoto kubwa kama kuanza upya.Simba kuvurugika ni Mo kukaa pembeni.. tofaut na hapo sawahau kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti sijui nani nani kajiuzulu au kafukuzwa utegemee itavurugiwa, anaajiriwa au kuteuliwa mwingine faster tu mambo bam bam...Ukisikia Mo kasepa, hapo kweli tutapoteana..ila hawa wengine??! aawap
Ndio leo sasa wanaanza mchakatoMi nikishaonaga vistori anavivalia njuga mtu asiyehusika ili mradi apate cha kuwafurahisha huwa sizitilii manani hata kidogo.
Kama ni hivyo si vipo vyombo vya sheria hao Mtibwa waende nao.
Sio kelele tu za redioni ambazo huwa sana sana naziitaga za udaku tu.
Anavunja mkataba tu , anakua Mchezaji huruTunamuharibia tu. Sasa kama tumeshinda huko Nguvu moja atachezaje? [emoji848]
Hii mkubali anawazubaisha tu mjione mna haaki huku akijua mwisho wa siku nini kitamtokea ili museme kaonewa.
hao wanaoondoka wote replacement zao zipo, Magori alivyokua CEO ulikua unamjua Senzo?Mo si kitu bila hao wanaoondoka na huo ndio ukweli na nikwambie hamna changamoto kubwa kama kuanza upya.
#Hatukatazikujifariji.
Wacha waanze hatujali kitu sababu vilabu vya Tanzania kelele ka hizo hata hazizuilikagi aiseee.Ndio leo sasa wanaanza mchakato
kuwen makini na GSM, mpira sio kama viwanja wanavyo vamia wakitegemea wataenda mahakamn alafu wataambiwa wafanye walipe case inakua imeisha... kwenye mpira haiko hvyo
Ningekua siwatakii mema ningekua nawaonya kuhusu GSM? si ningefurah anawapoteza ?Wacha waanze hatujali kitu sababu vilabu vya Tanzania kelele ka hizo hata hazizuilikagi aiseee.
#SikuGsmakisepautafurahisana.eee.