Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Anavunja mkataba tu , anakua Mchezaji huru
Oooh!! Kuvunja mkataba si kuna process zake ikifikia hapo ndo atajua kwamba sisi ni Timu ya Wananchi.

Sababu lazima tutoe conditions zetu ili kukubali kuvunja naye mkataba.

#Nadhaninikosahihi.
 
Oooh! Lile lile kapi. [emoji23][emoji23][emoji23]
sasa huo ni mtazamo wako.. point ni kwamba hakuna ambae sio replaceable..Akiondoka huyu jua tu wako maelfu kama yeye, bora kuliko yeye.. au chini yake kiasi

kuhusu kapi hilo ni lako, [emoji9][emoji9]
 
Oooh!! Kuvunja mkataba si kuna process zake ikifikia hapo ndo atajua kwamba sisi ni Timu ya Wananchi.

Sababu lazima tutoe conditions zetu ili kukubali kuvunja naye mkataba.

#Nadhaninikosahihi.
Haiko hvyo, conditions zote tayari ziko kwenye makubaliano baina yenu , huwezi leta conditions mpya, sasa sana kitu kipya kutoka nje ni sheria tu

Hua iko hivyo

mchezaji wanaweza kubaliana na club wavunje mkataba

au mchezaj anaununua mkataba wake, hapa mtu wa kati anakua ni TFF , mchezaj anaenda TFF mnaitwa, inafanywa valuation kulingana na gharama mlizo ingia , au ambazo mngeingia analipa anasepa ...
 
Simba wamepumbazwa na kesi ya Morrison na kuondoka kwa mtendaji wao mkuu, Yanga wao wapo Smart wanakamilisha plan zao za usajili nk.
 
Farid Musa asaini Yanga
Ngoja tuwasindikizie na pikcha. 😀😀
20200812_142100.jpg
 
Jifunze maana ya mihemko na jinsi ya ku overcome ndiyo uje uteme upumbavu wako. nmekuambia Al Ahly walimtaka aende kwa majaribio miezi 6 wakimkubali ndiyo wampe mkataba wewe unakurupuka na kutukana!
Msamehe bure mkuu mbona hali zao upstair unazijua
 
sasa huo ni mtazamo wako.. point ni kwamba hakuna ambae sio replaceable..Akiondoka huyu jua tu wako maelfu kama yeye, bora kuliko yeye.. au chini yake kiasi

kuhusu kapi hilo ni lako, [emoji9][emoji9]
Hahahaaa. Mmeamua kuyarudia matapishi. Teh teh.

Halafu mnajifariji. Wacha maskhara Mtani.
 
Haiko hvyo, conditions zote tayari ziko kwenye makubaliano baina yenu , huwezi leta conditions mpya, sasa sana kitu kipya kutoka nje ni sheria tu

Hua iko hivyo

mchezaji wanaweza kubaliana na club wavunje mkataba

au mchezaj anaununua mkataba wake, hapa mtu wa kati anakua ni TFF , mchezaj anaenda TFF mnaitwa, inafanywa valuation kulingana na gharama mlizo ingia , au ambazo mngeingia analipa anasepa ...
Oooh. Ahsante kwa ufafanuzi Mtani. 🙏🙏

Japo tusubiri tuone kama itakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom