Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh!! Kuvunja mkataba si kuna process zake ikifikia hapo ndo atajua kwamba sisi ni Timu ya Wananchi.Anavunja mkataba tu , anakua Mchezaji huru
Sababu lazima tutoe conditions zetu ili kukubali kuvunja naye mkataba.
#Nadhaninikosahihi.