Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tukishinda pabaya patakuwa wapi?

Labda tukishindwa ndo waeza sema hivyo mana hatutapumua kwa kelele zenu.
Umeona Hashtag hiyo?? Nyinyi hata mshinde huyu hamuwez mpata tena
IMG-20200812-WA0041.jpg
 
Mbona sijaona sehemu Mtibwa wakiiongelea hii?
Uko nyuma ya dunia.. hau hata marafiki wakakutumia audio ya msemaji wao ? alikua anahojiwa wasafi,.. Manara kaziweka zote kwa pamoja, Ya Mtibwa na ya azam.. kitenge kaweka pia ila utahangaika tafuta
 
Naona kumekucha huko kwenu lakini mpo kimyaaaaa kama hakuna kinachoendelea.

Haya yamwageni hapa yule mliyemfukuzilia mbali huku mkidai alikuwa rafiki wa Senzo kafanyaje eti?
Sasa kama amefukuzwa sisi wa nn tena, yuko nje ya taasisi tayari huyo
 
"Sisi hatuna haraka na maamuzi, tunasubiri hiyo kamati leo, hii kesi ni ya Yanga na Morison tukimaliza hii kuna nyingine inakuja kwa hiyo watulie hii haiwahusu ya kwao inakuja. Hatuna sababu ya kumtisha mwenyekiti wa kamati kama wanavyofanya wao maana tunajua ukweli wote juu ya mchezaji wetu"

Hassan Bumbuli (Afisa Habari wa Yanga Sc)
 
Uko nyuma ya dunia.. hau hata marafiki wakakutumia audio ya msemaji wao ? alikua anahojiwa wasafi,.. Manara kaziweka zote kwa pamoja, Ya Mtibwa na ya azam.. kitenge kaweka pia ila utahangaika tafuta
Mi nikishaonaga vistori anavivalia njuga mtu asiyehusika ili mradi apate cha kuwafurahisha huwa sizitilii manani hata kidogo.

Kama ni hivyo si vipo vyombo vya sheria hao Mtibwa waende nao.

Sio kelele tu za redioni ambazo huwa sana sana naziitaga za udaku tu.
 
Mnalo ila niseme tu ni kama mshaanza kuvurugika.

Na mtafukuzana sana. [emoji1787]
Simba kuvurugika ni Mo kukaa pembeni.. tofaut na hapo sawahau kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti sijui nani nani kajiuzulu au kafukuzwa utegemee itavurugiwa, anaajiriwa au kuteuliwa mwingine faster tu mambo bam bam...Ukisikia Mo kasepa, hapo kweli tutapoteana..ila hawa wengine??! aawap
 
Mo bila watendaji? 😳😳😳
 
Mo si kitu bila hao wanaoondoka na huo ndio ukweli na nikwambie hamna changamoto kubwa kama kuanza upya.

#Hatukatazikujifariji.
 
Mi nikishaonaga vistori anavivalia njuga mtu asiyehusika ili mradi apate cha kuwafurahisha huwa sizitilii manani hata kidogo.

Kama ni hivyo si vipo vyombo vya sheria hao Mtibwa waende nao.

Sio kelele tu za redioni ambazo huwa sana sana naziitaga za udaku tu.
Ndio leo sasa wanaanza mchakato

kuwen makini na GSM, mpira sio kama viwanja wanavyo vamia wakitegemea wataenda mahakamn alafu wataambiwa wafanye walipe case inakua imeisha... kwenye mpira haiko hvyo
 
Tunamuharibia tu. Sasa kama tumeshinda huko Nguvu moja atachezaje? [emoji848]

Hii mkubali anawazubaisha tu mjione mna haaki huku akijua mwisho wa siku nini kitamtokea ili museme kaonewa.
Anavunja mkataba tu , anakua Mchezaji huru
 
Mo si kitu bila hao wanaoondoka na huo ndio ukweli na nikwambie hamna changamoto kubwa kama kuanza upya.

#Hatukatazikujifariji.
hao wanaoondoka wote replacement zao zipo, Magori alivyokua CEO ulikua unamjua Senzo?
 
Ndio leo sasa wanaanza mchakato

kuwen makini na GSM, mpira sio kama viwanja wanavyo vamia wakitegemea wataenda mahakamn alafu wataambiwa wafanye walipe case inakua imeisha... kwenye mpira haiko hvyo
Wacha waanze hatujali kitu sababu vilabu vya Tanzania kelele ka hizo hata hazizuilikagi aiseee.

#SikuGsmakisepautafurahisana.eee.
 
Ningekua siwatakii mema ningekua nawaonya kuhusu GSM? si ningefurah anawapoteza ?
 
Back
Top Bottom