Oooh!! Kuvunja mkataba si kuna process zake ikifikia hapo ndo atajua kwamba sisi ni Timu ya Wananchi.Anavunja mkataba tu , anakua Mchezaji huru
Oooh! Lile lile kapi. πππhao wanaoondoka wote replacement zao zipo, Magori alivyokua CEO ulikua unamjua Senzo?
Nionavyo tunakoelekea Gsm kama ni jiti tutalijua tu.Ningekua siwatakii mema ningekua nawaonya kuhusu GSM? si ningefurah anawapoteza ?
sasa huo ni mtazamo wako.. point ni kwamba hakuna ambae sio replaceable..Akiondoka huyu jua tu wako maelfu kama yeye, bora kuliko yeye.. au chini yake kiasiOooh! Lile lile kapi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri mmoja nilisema kabla upuuzi wowote ule haujaanzaNionavyo tunakoelekea Gsm kama ni jiti tutalijua tu.
Hivyo wala hatuna pupa.
Haiko hvyo, conditions zote tayari ziko kwenye makubaliano baina yenu , huwezi leta conditions mpya, sasa sana kitu kipya kutoka nje ni sheria tuOooh!! Kuvunja mkataba si kuna process zake ikifikia hapo ndo atajua kwamba sisi ni Timu ya Wananchi.
Sababu lazima tutoe conditions zetu ili kukubali kuvunja naye mkataba.
#Nadhaninikosahihi.
Aisee hivi wakati unaandika hukudondosha simu kweli?π Daah naiona hofu uliyonayo kila nikisoma comments zako bora hili sakata liishe tu ili amani yako irejeeπMimi au nyie Mtani?
Nani kafukuzwa tena mtaniMnalo ila niseme tu ni kama mshaanza kuvurugika.
Na mtafukuzana sana. [emoji1787]
Farid Musa Katya JangwaniKuna jipya ?
Msamehe bure mkuu mbona hali zao upstair unazijuaJifunze maana ya mihemko na jinsi ya ku overcome ndiyo uje uteme upumbavu wako. nmekuambia Al Ahly walimtaka aende kwa majaribio miezi 6 wakimkubali ndiyo wampe mkataba wewe unakurupuka na kutukana!
Hahahaaa. Mmeamua kuyarudia matapishi. Teh teh.sasa huo ni mtazamo wako.. point ni kwamba hakuna ambae sio replaceable..Akiondoka huyu jua tu wako maelfu kama yeye, bora kuliko yeye.. au chini yake kiasi
kuhusu kapi hilo ni lako, [emoji9][emoji9]
Ndio tutakuona ukweli wako.Uzuri mmoja nilisema kabla upuuzi wowote ule haujaanza
Oooh. Ahsante kwa ufafanuzi Mtani. ππHaiko hvyo, conditions zote tayari ziko kwenye makubaliano baina yenu , huwezi leta conditions mpya, sasa sana kitu kipya kutoka nje ni sheria tu
Hua iko hivyo
mchezaji wanaweza kubaliana na club wavunje mkataba
au mchezaj anaununua mkataba wake, hapa mtu wa kati anakua ni TFF , mchezaj anaenda TFF mnaitwa, inafanywa valuation kulingana na gharama mlizo ingia , au ambazo mngeingia analipa anasepa ...