Hata Tff nao wanayo kesi ya kujibu ni basi tu funika kombe mwanaharamu apiteNakazia! Kutuaminisha Uppuuzi haifai kabisa aisee.
HAHAHAHAHAHAHAHAHHA HAHAHAHAHAHAHAHAHImeisha hiyoooo. 😎
Leo wameniacha mdomo wazi. Majamaa ni majizi ,mpaka sahihi za watu. Naionea huruma YangaJii Esi Emu wanywang'anywe passport kabla hawajatoroka nchini. Kuna kesi nyingine ya jinai inafuata
ni kosa wakili kuhusika na kugushi tunataka tamko la TLS huyu wakili amejiaibishaAisee! Morrison kashinda, mkataba aliyoingia na yanga una mapungufu. Wakili wa Yanga achunguzwe.
Tunaanza na nani Mwanasheria au Engineer?Ila kuna haja ya uongozi kutudadavulia yaliyoendelea huko kwa kweli.
Tulishasema tangia mwanzo mikia sio wajinga. Haya sasa inabakia aibu tu.
Forgery mfanye nyie na kamati muidanganye nyie hii siyo sawa.Ila kuna haja ya uongozi kutudadavulia yaliyoendelea huko kwa kweli.
Tulishasema tangia mwanzo mikia sio wajinga. Haya sasa inabakia aibu tu.
Bado kuna barua waliyoifanya kama vile imeandikwa na mchezaji Sure Boy, kumbe wameiandika wao, mesenja akajichanganya akaipeleka ofisini kwa Azam badala ya kumpa Sure Boy apeleke mwenyewe. Kuna kesi inakuja, Azam wanajipangaLeo wameniacha mdomo wazi. Majamaa ni majizi ,mpaka sahihi za watu. Naionea huruma Yanga
Hahahaaaa. Haya mie sijambo.Hahah sio hivyo mtani....
On and Off sana kipindi hiki.
Soon nitarudi full,ila kweli la Morrison limenirudisha kukusabahi mtani
Hahahahaahahaaaaa.HAHAHAHAHAHAHAHAHHA HAHAHAHAHAHAHAHAH
Eeeeeh!!Ukiinama nchale ukiinuka nchale
Simba nguvu moja
Umefanya na mie nimecheka. LolHahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hahah nakumbuka mapema sana nilikugusia kuhusu ishu ya Morrison..Hahahaaaa. Haya mie sijambo.
Ile siku mnamtambulisha ndio moyo wangu ulifyatuka lakini leo naona sawa tu maana tangia pale sikuwa na imani tena na hao wanaojitapa kwamba Morison ana saini yetu.
Hivyo nilikuwa tayari kwa chochote.