Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Takukuru
Takukuru
Tunawaomba muingie haiwezekani lazima Watu wawajibishwe kwa hili.
 
Ila kuna haja ya uongozi kutudadavulia yaliyoendelea huko kwa kweli.

Tulishasema tangia mwanzo mikia sio wajinga. Haya sasa inabakia aibu tu.
Forgery mfanye nyie na kamati muidanganye nyie hii siyo sawa.
 
Leo wameniacha mdomo wazi. Majamaa ni majizi ,mpaka sahihi za watu. Naionea huruma Yanga
Bado kuna barua waliyoifanya kama vile imeandikwa na mchezaji Sure Boy, kumbe wameiandika wao, mesenja akajichanganya akaipeleka ofisini kwa Azam badala ya kumpa Sure Boy apeleke mwenyewe. Kuna kesi inakuja, Azam wanajipanga
 
Hahah sio hivyo mtani....

On and Off sana kipindi hiki.

Soon nitarudi full,ila kweli la Morrison limenirudisha kukusabahi mtani
Hahahaaaa. Haya mie sijambo.

Ile siku mnamtambulisha ndio moyo wangu ulifyatuka lakini leo naona sawa tu maana tangia pale sikuwa na imani tena na hao wanaojitapa kwamba Morison ana saini yetu.

Hivyo nilikuwa tayari kwa chochote.
 
Hahahaaaa. Haya mie sijambo.

Ile siku mnamtambulisha ndio moyo wangu ulifyatuka lakini leo naona sawa tu maana tangia pale sikuwa na imani tena na hao wanaojitapa kwamba Morison ana saini yetu.

Hivyo nilikuwa tayari kwa chochote.
Hahah nakumbuka mapema sana nilikugusia kuhusu ishu ya Morrison..
Ukanihakikishia mshamsaini.

Nikasema anyway sikio la kufa,ila bora ilivyokuwa mngefosi angewasumbua tu yule
 
Ipo haja ya kuwatathimini viongozi wetu na hata huyo jiesiemu mana wanazingua kwa kweli.

Yaani wamejua tuzuzua mana asilimia kubwa ya wana Yanga walijua tunashinda baada ya porojo zao zile. Mmmmxxxiiiiwww.
 
Back
Top Bottom