Shadeeya acha bwana unanifanya niingiwe na huruma sana nionapo hizi comments zako.😑Usishangae kesho na kesho kutwa hao hao wakadai haki haijatendeka.
Kumbe wenyewe ndo vimeo. 🙁 🙁
ManulasonTuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.
1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Mbona unawataja wavuta bangi mtaniManulason
Kapombeson wawason nyonison zimbwe
Fragason mkudeson
Miquisson chamason Morrison
Boccoson
Mabingwa wapya wa ligi ya mabingwa afrika haoMbona unawataja wavuta bangi mtani
Kweenddraaaa. 🤣🤣Shadeeya acha bwana unanifanya niingiwe na huruma sana nionapo hizi comments zako.😑
Hata na mie naona imeshatosha yaani kuanza kuhangaika na hizi mambo ni kuzidi kujishusha hadhi.Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.
1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Kwani CAS ni wapi Mtani?Wanaenda CAS wakati hata FIFA hawajaenda, Hapo ndo ujue viongozi wa Utopolo hawajitambui
Hahahaaa. Nimerudia kusoma nimebakia nacheka tu. Lol.Shadeeya acha bwana unanifanya niingiwe na huruma sana nionapo hizi comments zako.😑
Kuna moja akasemaga ipo siku tutatwangana ngumi mchana kweupe. 😂😂😂Hii ni Yanga au Utopolo haya mambo ya kijinga haya bwanaaa.
Simba nguvu moja
Pm umenifungia.. kumbe Unapenda sana yanga...Kuna moja akasemaga ipo siku tutatwangana ngumi mchana kweupe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Au sisi tutapanda kwenye hilo gari halafu wachezaji ndio wawe wanahangaika kutafuta usafiri waone namna tunateseka tukiwa kwenye madaladala na hizi jezi.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au sisi tutapanda kwenye hilo gari halafu wachezaji ndio wawe wanahangaika kutafuta usafiri waone namna tunateseka tukiwa kwenye madaladala na hizi jezi.. 🤣🤣🤣
Aaah Shadeeya inamaana hutaki hata kuniona unanifukuza kweli?☺Kweenddraaaa. 🤣🤣
Hahahaa wape salaaaam.Hahahaaa. Nimerudia kusoma nimebakia nacheka tu. Lol.
Huruma hiyo kwiiio. 💃💃💃
Mkuu huyu bwalya, Rutanga na Kotei umewatoa wapi?Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.
1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Mie Yanga lia lia atiii.Pm umenifungia.. kumbe Unapenda sana yanga...