Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.
1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima