Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.

1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
 
acha waende huko fifa ili viongozi waliohusika wafungiwe maisha,, Yanga wapate viongozi wenye uweledi,,
..
hao janja janja tu wanatumia hii kesi ili wabaki jangwani,,

kiuhalisia mashabiki wanawachora tu [emoji3]
 
Wanaenda CAS wakati hata FIFA hawajaenda, Hapo ndo ujue viongozi wa Utopolo hawajitambui
 
Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.

1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Manulason
Kapombeson wawason nyonison zimbwe
Fragason mkudeson
Miquisson chamason Morrison
Boccoson
 
Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.

1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Hata na mie naona imeshatosha yaani kuanza kuhangaika na hizi mambo ni kuzidi kujishusha hadhi.

Morisson ni nani kwani mpaka asimamishe kazi zetu namna hiyo.

Nionavyo uongozi ulifikirie hili kwa kweli.
 
Hii ni Yanga au Utopolo haya mambo ya kijinga haya bwanaaa.

Simba nguvu moja
Kuna moja akasemaga ipo siku tutatwangana ngumi mchana kweupe. 😂😂😂

Au sisi tutapanda kwenye hilo gari halafu wachezaji ndio wawe wanahangaika kutafuta usafiri waone namna tunateseka tukiwa kwenye madaladala na hizi jezi.. 🤣🤣🤣
 
Kuna moja akasemaga ipo siku tutatwangana ngumi mchana kweupe. [emoji23][emoji23][emoji23]

Au sisi tutapanda kwenye hilo gari halafu wachezaji ndio wawe wanahangaika kutafuta usafiri waone namna tunateseka tukiwa kwenye madaladala na hizi jezi.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pm umenifungia.. kumbe Unapenda sana yanga...
 
Au sisi tutapanda kwenye hilo gari halafu wachezaji ndio wawe wanahangaika kutafuta usafiri waone namna tunateseka tukiwa kwenye madaladala na hizi jezi.. 🤣🤣🤣

Mtani umesababisha nicheke kwa sauti aisee.

Kwa hiyo mkipanda basi la timu na kucheza ni kazi yenu itakuwa!
 
Tuachane na ayo mambo ya kukata rufaa, tuachana nae acheze Simba. Yani tukizidi kuendelea kumgombania tunampa sifa nyingi na tunatia aibu. Tuendelee kusajili timu nzuri mana ad sasa tuko vizuri. Tutafute na winga mzuri wa pembeni achukue nafasi ya Morrison na kiungo mshambuliaji no. 8 anaepiga pasi za uhakika kuzidi Fei toto tutakua tumemaliza.

1. Shikalo/Metacha
2. Boxer/Shomari
3. Eric Rutaga/ Yasin
4. Lamine
5. Mwamnyeto
6. Kotei / zawadi mauya
7. Farid Musa
8. Fei toto
9. Yacouba Sougne/Waziri Junior
10. Bwalya
11. Niyonzima
Mkuu huyu bwalya, Rutanga na Kotei umewatoa wapi?
 
Back
Top Bottom