Ikiwa hivyo si tunawarahisishia Mtani kama tulivyowarahisishia kwa Morison. Mana ndo zenu.
Anamaanisha Chama kiuwezo hamfikii Toto!Mkuu tushike lipi, hapa chini uliyasema haya..
Ha ha ha haNimekuelewa hapo kwa Bwalya.
Hongereni kwa usajili mwingine, nimesikia mmemsajili aliyekuwa dreva wa Senzo.
Huyu ibenge ni mwalimu mzuri sana
Yees!! Mikia si ndio nasikia walikuwa wanamuwania na kwa hiyo picha wameshawehuka hukoo. 😂😂😂Huyu ibenge ni mwalimu mzuri sana
Wewe tu ndo unapuresha Mtani.Mwaka huu wananchi tumepatikana sana aise; Mara tupost ndege, Mara tupo airport, mara tuombe selfie na kina ibenenge; Mara tuweke bundle yani full usumbifu
Namkumbuka sana bin kleb alikuwa maneno na vitendo
Audio ya nani?jamani tupandishiwe hyo audio yake hapa
ya huyo mzungu akituita nguruweAudio ya nani?
Ilishatumwaga humu. Ipo.ya huyo mzungu akituita nguruwe
Mapungufu sio? Nendani CAS basi [emoji23][emoji23][emoji23] watu wamepindisha pindisha hapo weee.. wakatunga na sinema yao, wamemaliza saiv mambo saafiMikia wengi hawajalijua hili wao mawazo yao yako kwenye kufoji tu.
Jamani eee mkataba no halali.ila una mapungufu tu.
Chukueni huyo mwingine tuoneInamana Zambia nzima mchezaji ni Bwalya? Au ndio unawalisha viongozi wetu maneno?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anatoka hapo anakuambia rais wa AS VITA kasema Wana Mpango na kocha wao hivyo tumuachie, alafu Shadeeya anawaelewa anashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barcelona ipi wewe? Sisi ni Bayern sasa na hata milele😜Sio Barcelona tena? 😂😂😂😂
Tulia wewe tukutane 18 October tuje tukubarcelonie.Hahahaaa. Baada ya kupigwa goli nane naona mnajikataa. Lol
"Sisi simba ni level za Barcelona" (in Ropo ropo Voice) Teh