Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200817_082320.jpg
 
Mwaka huu wananchi tumepatikana sana aise; Mara tupost ndege, Mara tupo airport, mara tuombe selfie na kina ibenenge; Mara tuweke bundle yani full usumbifu

Namkumbuka sana bin kleb alikuwa maneno na vitendo
Wewe tu ndo unapuresha Mtani.

Hakuna aliyepatikana na ndio sababu tunayafanya na kuyapokea yote bila ubishi.
 
Mikia wengi hawajalijua hili wao mawazo yao yako kwenye kufoji tu.

Jamani eee mkataba no halali.ila una mapungufu tu.
Mapungufu sio? Nendani CAS basi [emoji23][emoji23][emoji23] watu wamepindisha pindisha hapo weee.. wakatunga na sinema yao, wamemaliza saiv mambo saafi
 
Back
Top Bottom