Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wacha yaume. 💃💃💃

Nilikuwa sijasoma vizuri andishi lako la mwisho. Lol

Ubingwa huo Kwiiiio. 😎
Si Tp Mazembe, Si Esperance, Si Al Ahly, si Mamelod, si Raja Casablanca, Naaaaaam hakuna wa kumzuia mfalme wa nyika kiboko ya vyura pale madimbwini.
#Huuniwakatiwetu
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
 
Naamini baada ya hapa wale Mikia wote saa hii uzi wetu wanauchungulia kwa mbali sana. [emoji23][emoji23][emoji23]

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Nyani ni nyani tu, maana mumedanganywa mkajipanikisha sasa hivi mumepozwa na hao maflopper wasio na pa kwenda na ukijumlisha timu yao nayo imekuwa kama utopolo tu, haijafuzu klabu bingwa basi mumetuliaaaaaaaaa.... Mimeno nje kama mazuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi unafikiri Zahera, Moringa, Tshishimbi hawajawaambia kama hapo Utopoloni njaa imetamalaki?
 
Ushabiki tu ndo unajipanikisha namna hii. Lol

Pole Mkuu mana inaonekana umejawa na sitiresi. 🤣🤣🤣🤣🤣

Tafuta kipembe ulieee kisha baada ya hapo futa machozi unywe na maji eeee. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…