Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmmh!! Ukiona mtu perfomance yake inashuka basi ujue lilikuwa garasa hilo Mtani.

Kaputeini wetu msimu uliopita mbona alituonyesha kiwango bora toka tumemsajili kabla ya kupata majeraha.

Sasa shida ipo hapo, binafsi nazungumzia afanye vizuri na isiwe kwa msimu mmoja tu.

Kwa siku za karibuni Makambo ningemwelewa, sema hakudumu hapo.

Anyway, nawaombea sajili zenu ziendelee kuwa magarasha ili tuendeleze ubabe
 
Mchezaji kama LARRY BWALYA super maestro locomotive kikosi kizima cha Yanga hakina mchezaji kama huyu
 
Sio type ya Yikpe Mtani [emoji41][emoji41]

Wachaaa hivyo mtawabeba si eti. Hawa tumewasainisha miaka miwili Mtani hivyo mtasubiria sana.
Tukiamua tunavunja tu mkataba,
Labda awe mbovu akiwa mchezaji hasa tunapita nae mbele[emoji23][emoji23]
 
Sasa shida ipo hapo, binafsi nazungumzia afanye vizuri na isiwe kwa msimu mmoja tu.

Kwa siku za karibuni Makambo ningemwelewa, sema hakudumu hapo.

Anyway, nawaombea sajili zenu ziendelee kuwa magarasha ili tuendeleze ubabe
Hawa nimeona tumewasajili miaka miwili miwili kama sijakosea.

Kuhusu Makambo Zahera ndo alituuza pale.

Kwa dua hii ushindwe mtani. 😎
 
Muwe nae makini Huyo Engeneer maana anapigaga picha na kina Morrison na tshimbimbi alafu kumbe hawajasaini mktaba.

Tena muhakikishe wamesaini page zote 😛
 
Tatizo lako kubwa Shadeeya ni ubishi.
😂😂
20200205_124109.jpg
 
Back
Top Bottom