Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mtani naona mmefanyia kazi niliyoitaka ,safi sanaKadanganyaje?
Ukishaniambia alichodanganya uje na link kabisa na mie nikamshuhudie. [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani naona mmefanyia kazi niliyoitaka ,safi sanaKadanganyaje?
Ukishaniambia alichodanganya uje na link kabisa na mie nikamshuhudie. [emoji41][emoji41]
Si Tp Mazembe, Si Esperance, Si Al Ahly, si Mamelod, si Raja Casablanca, Naaaaaam hakuna wa kumzuia mfalme wa nyika kiboko ya vyura pale madimbwini.Wacha yaume. 💃💃💃
Nilikuwa sijasoma vizuri andishi lako la mwisho. Lol
Ubingwa huo Kwiiiio. 😎
Ofcoz hapa Yanga wameamua kua serious na maishasasa hawa ndiyo wachezaji wenye viwango bora vya kuchezea simba na yanga, big up GSM!
Huyu bado ana umri mdogo, so mwakani tutamchukua aje kusaidiana na Morrison pale
Ila mwalimu nasikia tetesi atatokea burundiYees!! Mikia si ndio nasikia walikuwa wanamuwania na kwa hiyo picha wameshawehuka hukoo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapo tumewaachia kazi ya kuipa maneno. [emoji3]
Huyu Ibenge ametuwezesha kuyapata majembe mawili ya hatariYees!! Mikia si ndio nasikia walikuwa wanamuwania na kwa hiyo picha wameshawehuka hukoo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapo tumewaachia kazi ya kuipa maneno. [emoji3]
Hahahaha, aseeSi Tp Mazembe, Si Esperance, Si Al Ahly, si Mamelod, si Raja Casablanca, Naaaaaam hakuna wa kumzuia mfalme wa nyika kiboko ya vyura pale madimbwini.
#Huuniwakatiwetu
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Usajiri huu wa yanga uko vzrOfcoz hapa Yanga wameamua kua serious na maisha
Mnachukua Cedrick ?Ila mwalimu nasikia tetesi atatokea burundi
Ahsante sana Mtani.
🙏🙏
Naamini baada ya hapa wale Mikia wote saa hii uzi wetu wanauchungulia kwa mbali sana. 😂😂😂
Hakika Mkuu.Huyu Ibenge ametuwezesha kuyapata majembe mawili ya hatari
Nimeona like ya Mtani mjingamimi. 🤣🤣🤣Haya mawe ni hatari tupu. Kuna wazee watamchania sana jezi Kisinda uwanjaniView attachment 1540632View attachment 1540633
Hahahaha, ila hao watawafaa[emoji120][emoji120]
Mtani lazima tuelewane tu kidogo kidogo. [emoji1787][emoji1787]
Nyani ni nyani tu, maana mumedanganywa mkajipanikisha sasa hivi mumepozwa na hao maflopper wasio na pa kwenda na ukijumlisha timu yao nayo imekuwa kama utopolo tu, haijafuzu klabu bingwa basi mumetuliaaaaaaaaa.... Mimeno nje kama mazuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamini baada ya hapa wale Mikia wote saa hii uzi wetu wanauchungulia kwa mbali sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ushabiki tu ndo unajipanikisha namna hii. LolNyani ni nyani tu, maana mumedanganywa mkajipanikisha sasa hivi mumepozwa na hao maflopper wasio na pa kwenda na ukijumlisha timu yao nayo imekuwa kama utopolo tu, haijafuzu klabu bingwa basi mumetuliaaaaaaaaa.... Mimeno nje kama mazuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unafikiri Zahera, Moringa, Tshishimbi hawajawaambia kama hapo Utopoloni njaa imetamalaki?