Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mmmh!! Ukiona mtu perfomance yake inashuka basi ujue lilikuwa garasa hilo Mtani.
Kaputeini wetu msimu uliopita mbona alituonyesha kiwango bora toka tumemsajili kabla ya kupata majeraha.
Kwani tumekataa. π€£π€£π€£π€£Huo usajili mΔΊioufanya hakuna mchezaji hata mmoja mwenye kiwango cha kumfikia Chama + Miquissone +Bwalya + Bm3 hayupo hΓ po.
Daima Mbele Nyuma Mwiko Shemela.Yangaaaaa......
Sio type ya Yikpe Mtani ππHahaha hii sio type ya yakpe material mtani.
Wakiwa wazuri kama Morrison sisi kama kawaida yetu.
Uzuri Mpira unachezwa peeeupeeee.Mchezaji kama LARRY BWALYA super maestro locomotive kikosi kizima cha Yanga hakina mchezaji kama huyu
Hahahahahahahahah usajili wa Chama bado tu hamjaukamilisha.Kwani tumekataa. π€£π€£π€£π€£
Hahahahaaaaa. Mtaniiiii.
Halafu kawazuga alipokuja kanyoa hizo ndevu eti wakati uso wenyewe unaonyesha alivyo mstaafu. ππUsajili Mkubwa ni huuView attachment 1540885
Tukiamua tunavunja tu mkataba,Sio type ya Yikpe Mtani [emoji41][emoji41]
Wachaaa hivyo mtawabeba si eti. Hawa tumewasainisha miaka miwili Mtani hivyo mtasubiria sana.
Nasikia tuna jambo letu hapo OctoberDaima Mbele Nyuma Mwiko Shemela.
Hawa nimeona tumewasajili miaka miwili miwili kama sijakosea.Sasa shida ipo hapo, binafsi nazungumzia afanye vizuri na isiwe kwa msimu mmoja tu.
Kwa siku za karibuni Makambo ningemwelewa, sema hakudumu hapo.
Anyway, nawaombea sajili zenu ziendelee kuwa magarasha ili tuendeleze ubabe
Wazee wa kupenda vya watu. πππTukiamua tunavunja tu mkataba,
Labda awe mbovu akiwa mchezaji hasa tunapita nae mbele[emoji23][emoji23]
Hawa nimeona tumewasajili miaka miwili miwili kama sijakosea.
Kuhusu Makambo Zahera ndo alituuza pale.
Kwa dua hii ushindwe mtani. π
Hahah hata huko kwao tunamtuma Hanspope mzee hashindwagi jambo yuleWazee wa kupenda vya watu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndo mana hawa majamaa tumewasajilia huko kwao kwani hamchelewi.
Uwiiii!! Naombea uzima hapa Mtani.Nasikia tuna jambo letu hapo October
Hamna jambo lolote nyie jiandaeni kisaikolojia tuUwiiii!! Naombea uzima hapa Mtani.
Sababu si wenyewe tutakuwa na jambo letu.
Hahahaaaaa. Ila tulijua sana kuwaweka roho juu. LolHahahahahahahahah usajili wa Chama bado tu hamjaukamilisha.