Mi wakisharushaga kwenye Official page ya YangaSc basi huwa sina wasiwasi.Muwe nae makini Huyo Engeneer maana anapigaga picha na kina Morrison na tshimbimbi alafu kumbe hawajasaini mktaba.
Tena muhakikishe wamesaini page zote 😛
Sanaa na msimu uliopita angekuwepo angefanya makubwa pia. Ila ndo hivyo hamna jinsi Mtani.Zahera aliona mnazingua akaamua kula hela ya uwakala. Ila jamaa alikuwa wa ukweli.
Mtani mimi kukuombea mema ntakuwa nakudanganya.
Uzuri wa hizi mambo bana pale usipotarajia ndo unapoaibika.Hamna jambo lolote nyie jiandaeni kisaikolojia tu
Yule jamaa alinichosha kuwepo kwenye ile Kamati ya kesi ya Morisson yaani alionyesha Usimba wazi wazi bila hata kificho. LolHahah hata huko kwao tunamtuma Hanspope mzee hashindwagi jambo yule
Sanaa na msimu uliopita angekuwepo angefanya makubwa pia. Ila ndo hivyo hamna jinsi Mtani.
Duuh!!!
Yanga ni Academy yetu,Yanga ni Ma scout wetu wa wachezaji Tuwaache watutafutie vipaji.Tunasubiri Mtani, atakayeonekana ni mzuri kwenye hawa mnaowasajili tutatia fitna tumchukue au aende huko mbali.
Eti eee.Yanga ni Academy yetu,Yanga ni Ma scout wetu wa wachezaji Tuwaache watutafutie vipaji.
Mbona anaonekana amekaa kama Tapeli Tapeli huyu.HAYA JAMANI NIMEIONA SEHEMU HII. 👇👇
Kocha mpya wa Yanga Sc ni Cedric Kaze.
Anatarajia kutua nchini mwishoni mwa wiki hii akitokea Canada. Ni raia wa Burundi
Hahahaaa. Hebu hukooo. 🤣🤣🤣Mbona anaonekana amekaa kama Tapeli Tapeli huyu.
Utapeli huo Kwiiio. 🤣🤣Mbona anaonekana amekaa kama Tapeli Tapeli huyu.
Hahah yule mzee anajua fitna wallahYule jamaa alinichosha kuwepo kwenye ile Kamati ya kesi ya Morisson yaani alionyesha Usimba wazi wazi bila hata kificho. Lol
Na yule ndo mwanzo wa kusababisha mauzauza kwenye ile hukumu.Hahah yule mzee anajua fitna wallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uadui upo wapi hapo? Hahahahahaa mimi nawabananisha tu,Ushabiki sio uadui shtuka weweeee. [emoji108][emoji108][emoji108]
Inaonesha hutaki hata kumsikia..Na yule ndo mwanzo wa kusababisha mauzauza kwenye ile hukumu.
Duuhh!! Sasa ndo unatubananisha kwa kutuita kauli zisizofaa Mtani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uadui upo wapi hapo? Hahahahahaa mimi nawabananisha tu,
Maana nyie ndio mlisema kuwa mkigundua kuwa Morrison hajasinya yanga mtatimua uongozi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umepatia sio siri Mtani.Inaonesha hutaki hata kumsikia..