Huyu bado mnaye tu ,ila mtani inabidi mkaze sana msimu ujaoView attachment 1542623
UZEE MWISHO MSIMBAZI
Tunalijua hilo Mtani na naamini tutakaza.
Pia Usisahau hakuna aijuaye kesho Mtani.Hata Mie natamani,uwe na furaha msimu mzima mtani japo haiwezekani [emoji23]
Mtaniiii.. msimu jana nyie probably na prison ndio timu zilizokua na suluhu nyingi sana, hamfungwi ila mnasuluhu tu.. sababu ya kusuluhu ni kutokana na timu yenu kushindwa kufunga magoli, hata ushindi wenu ulikua nu 1-0, 2-1, 2-0.. ushindi hafifu hafifu tu... mmenda nunua wachezaj ambao ndani ya misimu 3 hawana goli 30 wote kwa pamoja..mtahangaika mtaniHiyo si sababu Mtani na ndio maana hata kipindi Lamine anakuja kwa Wananchi mlisema oooh hamna kitu hapo oo mara sijui alikuja majaribio kwenu mkamuona kiwango kiko chini lakini unamuona sasa hivi alivyo.
Anafanya vizuri japo mapungufu machache hayajakosekana kwake.
Hivyo usishangae akawa mzuri mbaya.
jidanganyeniWastaafu FC. Lol[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hata sisi hatuijui ila tunachojua tutakuwa mabingwa kwa mara ya 4 mfululizoPia Usisahau hakuna aijuaye kesho Mtani.
Kushoto mwa hili Jengo mtani kuna mafuriko matupu wallah...
Aaah!! Nakubali Mtani japo niseme tu naamini wakina Waziri watafanya vizuri.Mtaniiii.. msimu jana nyie probably na prison ndio timu zilizokua na suluhu nyingi sana, hamfungwi ila mnasuluhu tu.. sababu ya kusuluhu ni kutokana na timu yenu kushindwa kufunga magoli, hata ushindi wenu ulikua nu 1-0, 2-1, 2-0.. ushindi hafifu hafifu tu... mmenda nunua wachezaj ambao ndani ya misimu 3 hawana goli 30 wote kwa pamoja..mtahangaika mtani
hebu fikirika huku kwetu, tuna watu ambao ndani ya msimu 3 wana magoli 120+ wote kwa pamoja.... lazima mpate wafumania nyavu mtani, tofauti na hapo yale ya msimu jana tegemea yakijirudia
ππ Umefanya nimecheka. LolHata sisi hatuijui ila tunachojua tutakuwa mabingwa kwa mara ya 4 mfululizo
Kuna siku hata nyie mtapata ila ni baada ya sisi kupata at least mara tano mfululizo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Umefanya nimecheka. Lol
#Ubingwa huo kwiiio yawapasa pia kuamini si kila siku utapata wewe tu.[emoji126][emoji126]