Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Utopolo kwenye ubora wenu, Wachezaji mliowasajili mnaenda kuwapokea uwanja wa ndege, ningewaona mnaakili kama hao Wachezaji mngeenda kuwatambulisha Uwanja wa Uhuru pale ili muingize na hela.
Huo ni ushamba
 
Mkopo ule mkuu,
 
Ndoto za mchana hizo hasa pale unapoutaka huo ubingwa CCHL.

Mtani hii picha tuipe tafsiri gani?

IMG-20200820-WA0001.jpg
 
Kweli ni tishio. Kila mkigusa uwanja nje ya nchi mnapigwa khamsa!!!!
Wanajua ushindi wa magumashi magumashi wataupeleka mpaka nje.

Labda waandae wale wapuliza spray mana ndio wanawabebaga na hasa baada ya Senzo kuondoka ambaye hakuwa muumini wa jannja jannja.
 
Mtani kuna swali langu pale juu nimekuquote.
 
ILA NAOMBEA HAWA MAJAMAA WASIWE TYPE YA KINA YIKPE, NA MORISSON MANA TUTAWEKA WAPI SURA ZETU KWA SHANGWE HILI. 🤔🤔
 
Back
Top Bottom