Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mwisho wa siku tu niseme hamna kitu ambacho anaeza fanya Yanga na nyie mkasapoti hivyo iishie tu kwenye kile mnachokiamini Mtani kama ni ulimbukeni ama la.Hahahah.
Mtani mie sijaonyesha chuki ila nimeshangazwa kipi kilichosababisha wambebe!??
Labda ulimbukeni Si engineer huyo jamaa[emoji848][emoji23]