Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahah.
Mtani mie sijaonyesha chuki ila nimeshangazwa kipi kilichosababisha wambebe!??

Labda ulimbukeni Si engineer huyo jamaa[emoji848][emoji23]
Mwisho wa siku tu niseme hamna kitu ambacho anaeza fanya Yanga na nyie mkasapoti hivyo iishie tu kwenye kile mnachokiamini Mtani kama ni ulimbukeni ama la.
 
Hahah huyu tumpumzishe tu anajitahidi sana na ni rafiki yetu tumsamehe tu leo
WALIPOFIKA MAENEO YA KARIAKOO HALI ILIKUWA KA HIVI 😂😂😂
20200820_174704.jpg

DUUH.
 
Wananchi wa nchi gani Matahira,Mazezeta kiasi hiki??

Huu si utumwa kabisà.
IMG_20200820_173214.jpeg
 
Back
Top Bottom