Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200819_183736.jpg
 
Hiyo si sababu Mtani na ndio maana hata kipindi Lamine anakuja kwa Wananchi mlisema oooh hamna kitu hapo oo mara sijui alikuja majaribio kwenu mkamuona kiwango kiko chini lakini unamuona sasa hivi alivyo.

Anafanya vizuri japo mapungufu machache hayajakosekana kwake.

Hivyo usishangae akawa mzuri mbaya.
Mtaniiii.. msimu jana nyie probably na prison ndio timu zilizokua na suluhu nyingi sana, hamfungwi ila mnasuluhu tu.. sababu ya kusuluhu ni kutokana na timu yenu kushindwa kufunga magoli, hata ushindi wenu ulikua nu 1-0, 2-1, 2-0.. ushindi hafifu hafifu tu... mmenda nunua wachezaj ambao ndani ya misimu 3 hawana goli 30 wote kwa pamoja..mtahangaika mtani

hebu fikirika huku kwetu, tuna watu ambao ndani ya msimu 3 wana magoli 120+ wote kwa pamoja.... lazima mpate wafumania nyavu mtani, tofauti na hapo yale ya msimu jana tegemea yakijirudia
 
Aaah!! Nakubali Mtani japo niseme tu naamini wakina Waziri watafanya vizuri.
 
[emoji3][emoji3] Umefanya nimecheka. Lol

#Ubingwa huo kwiiio yawapasa pia kuamini si kila siku utapata wewe tu.[emoji126][emoji126]
Kuna siku hata nyie mtapata ila ni baada ya sisi kupata at least mara tano mfululizo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom