Naam ni mrundi yule ila si huyoOooh!! Mtani hapa nilikuwa namsemea yule Masoud Jumaa si mrundi naye?
Mkopo ule mkuu,Utopolo kwenye ubora wenu, Wachezaji mliowasajili mnaenda kuwapokea uwanja wa ndege, ningewaona mnaakili kama hao Wachezaji mngeenda kuwatambulisha Uwanja wa Uhuru pale ili muingize na hela.
Huo ni ushamba
Ndoto za mchana hizo hasa pale unapoutaka huo ubingwa CCHL.Naongea na wewe e e naongea na wewe usijifanye huniskii.😜😁
Miwani ninayo. 😎Yanaona vizuri lakini au nikupe Miwani😜😁
Na hawataamini. Wastaafu hawawezi shindaba na damu changa hata siku moja.Walowahi kuchinja mabata ya mzee wao Dalali. Wakachoma ukuta wao wa makuti pale msimbazi,kisa kuja na matokeo yao mfukoni.
Kipindi hiki mtamchinja yule mzungu wenu roporopo
Ndoto za mchana hizo hasa pale unapoutaka huo ubingwa CCHL.
Hamna anaeeza fanya hivyo. 😀Hahahaaaaaa.
Wakijaribu tuu,wanaishia MOI
Ndio wanachotegemea hicho.Pia usisahau magoli yao mengi ni ya kuotea,penalty za babu Kagere za kutengenezewa na marefa
Wanajua ushindi wa magumashi magumashi wataupeleka mpaka nje.Kweli ni tishio. Kila mkigusa uwanja nje ya nchi mnapigwa khamsa!!!!
Wanajua ushindi wa magumashi magumashi wataupeleka mpaka nje.
Labda waandae wale wapuliza spray mana ndio wanawabebaga na hasa baada ya Senzo kuondoka ambaye hakuwa muumini wa jannja jannja.
Inasemekana kina Kisinda wameshatua.
Hakika Yanga ni Timu ya Wananchi.
Nimeliona Mtani.Mtani kuna swali langu pale juu nimekuquote.
Sema tena bila kulia🐸🐸Kweli ni tishio. Kila mkigusa uwanja nje ya nchi mnapigwa khamsa!!!!
Hakuna linaloshindikana chini ya jua.Ndoto za mchana hizo hasa pale unapoutaka huo ubingwa CCHL.
Mkisema mnajifurahisha hapo titawaelewa. 😎Hakuna linaloshindikana chini ya jua.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Hakika Yanga ni Timu ya Wananchi.
Tafsiri hiyo hapo Mtani.