Na kujifanya kila anachofanya Yanga hakiko sahihi. πKubeba wabebe wengine kulalamika mlalamike nyie .. Mikia bhana, kujifanya kila kitu mnakijua, haya ndo hivyo ishatokea kama mmeumia sana pasukeni basi [emoji847]View attachment 1543503
Niwe mkweli sitamani iwe hivyo tena kwani inaturudishaga nyuma sana.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Lakini si mtafukuza wote na kuleta wengine dirisha jipya
Tunawaangalia tu..mara paap wamefeli (Hiiiiiii in Magu's voice)Niwe mkweli sitamani iwe hivyo tena kwani inaturudishaga nyuma sana.
πππ USITUFOKEEE.[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuona hawawezi tena kubeba Makombe wameona waanze kubebana wao kwa wao.View attachment 1543365
Hahahaha, ila mtani si bora mngembeba tajiri Gharib ? Pale mtani mmmmh ,sijui lknNa kujifanya kila anachofanya Yanga hakiko sahihi. [emoji23]
Yaani!! Ila nadhani wao kama wao wanatakiwa kujua tuna deni nao na wakishalijua hilo basi hawatatuletea mambo za Yikipe.Tunawaangalia tu..mara paap wamefeli (Hiiiiiii in Magu's voice)
Hahahaha, mtani timu inabidi uijenge haswaYaani!! Ila nadhani wao kama wao wanatakiwa kijua tuna deni nao na wakishalijua hilo basi hawatatuletea mambo za Yikipe.
Wala hatujali!! ππHatimaye Yanga yabeba kombe baada ya kupita miaka mitatu ya ukame.
πππ
Kwani uongoNa kujifanya kila anachofanya Yanga hakiko sahihi. π
Hatimaye YANGA Imekamilisha usajili wa Cletus Chama kutoka Kidongo chekundu Fc.
Hongereni GSM.View attachment 1543497
Tunawaambiaπππ USITUFOKEEE.
Tulishasema sisi hatusajili wazee.Hatimaye YANGA Imekamilisha usajili wa Cletus Chama kutoka Kidongo chekundu Fc.
Hongereni GSM.View attachment 1543497
Hakuwepo sasa.Hahahaha, ila mtani si bora mngembeba tajiri Gharib ? Pale mtani mmmmh ,sijui lkn
HahahahaHakuwepo sasa.
Yaani tuna kazi kubwa Mtani ambayo naimani tutajitahidi kuikabili japo muda wa usajili wenyewe uko mbioni kuisha.Hahahaha, mtani timu inabidi uijenge haswa
Duuh!! Kikawaida hata mie sijawahi ona kizuri mnafanya. Teh teh.Kwani uongo
Ngoja tuone ni kweli kocha ni Cedric kaze toka Burundi ?Yaani tuna kazi kubwa Mtani ambayo naimani tutajitahidi kuikabili japo muda wa usajili wenyewe uko mbioni kuisha.
Nimeona interview moja hadi anatia huruma. πππLinganisha utupe majibu View attachment 1543577
Hata kuchukua ubingwa mtani mfululizoDuuh!! Kikawaida hata mie sijawahi ona kizuri mnafanya. Teh teh.