Ubingwa huu wa magumashi Mtani?Hata kuchukua ubingwa mtani mfululizo
Ni wivu tu 🤣🤣Ubingwa huu wa magumashi Mtani?
#Hebu tema mate chini. 😎😎😎
Ni wivu tu 🤣🤣
Lol.Chapa halisi ya uto
Hahahaha hii sura ya kitapeli ?Bado haijawa Official lakini majuzi niliona sehemu wameandika ni yeye.
Japo Penison akadai eti anasura ya kitapeli. Lol
Yaani kumbeba tumbebe sisi kuchukia mchukie ninyi!? Asee hii dunia bwana!!Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??
Mahaba!?? Na kama ni mahaba kipi alichofanya mpaka kimewakuna hawa wana zengo kumbeba
Ulimbukeni!??
Si ndio hapo Mtani unajua tena kila tunalolifanya 5imba kwao halifurahishi.Hahahaha hii sura ya kitapeli ?View attachment 1543614