[emoji23][emoji23][emoji23]Woga kwa nani Mtani. Hamna anayenijua hapa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Sioo wewe mchezaji wa simba queen?Woga kwa nani Mtani. Hamna anayenijua hapa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Season ya 2020/2021 ni ya kwetu.Sawa Mtani, mimi nakuelewa.
Ila nasubiri kuona lini mtabeba kombe sasa, ili muache kubeba vitu vya ajabu ajabu.
Naanzaje kuwa mchezaji tena wa Simba Queen. LolSioo wewe mchezaji wa simba queen?
Ameshatua tayari.Kama nimemuona Mwamba Michael Saporng pembeni ya Eng. Hersi hivi!?
Huyu atatusaidia sana! Labda mambo yakatae tu ila anajua kufunga
Tunakusanya nguvu za kubeba ktk ujio mwingineMbona hamjambeba?
Tunakusanya nguvu za kubeba ktk ujio mwingine