The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Nikwepe nini sasa, invalid kwa kiswahili ni kama sio halali au haipo,, huenda wewe ulinielewa vibaya ila point yangu nilikua namaanisha kua kama ulitufunga goli nne (1 win) mbona na sisi tulikufunga mechi 1 (1 win) na tuka sare 1 overall ina maana wewe ulishinda mechi moja na mimi moja so tupo sawa,, kwa maana hiyo tumelingana ndo nilitumia neno invalid hapo nikimaanisha hivyo,, ila ukiataka kuiongelea hizo goli 4 as if last season nyie tu ndio mliotufunga hapo utakua unajitekenya na kucheka mwenyewe, ndo maana nikasema ukitaka tuongelee kipigo cha 4g alone tunanze na mechi yetu tuliyokupiga moja kwanza.Nataka ufafanuzi wa "invalid" hapo, acha kukwepa