Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nataka ufafanuzi wa "invalid" hapo, acha kukwepa
Nikwepe nini sasa, invalid kwa kiswahili ni kama sio halali au haipo,, huenda wewe ulinielewa vibaya ila point yangu nilikua namaanisha kua kama ulitufunga goli nne (1 win) mbona na sisi tulikufunga mechi 1 (1 win) na tuka sare 1 overall ina maana wewe ulishinda mechi moja na mimi moja so tupo sawa,, kwa maana hiyo tumelingana ndo nilitumia neno invalid hapo nikimaanisha hivyo,, ila ukiataka kuiongelea hizo goli 4 as if last season nyie tu ndio mliotufunga hapo utakua unajitekenya na kucheka mwenyewe, ndo maana nikasema ukitaka tuongelee kipigo cha 4g alone tunanze na mechi yetu tuliyokupiga moja kwanza.
 
Simba bwana wametafuta katimu wanakokamudu. Halafu uwanja Wa Mkapa tu haujajaa na watakwambia tulijaza hadi uhuru
 
Hao ndo vitalo katika ligi yao
 

Attachments

  • Screenshot_20200822-194005.png
    Screenshot_20200822-194005.png
    27 KB · Views: 1
Pamoja na kwamba mimi ni shabiki nguli wa Yanga Sc lakini kwa pira nililoshuhudia leo natangaza kuhamia Simba Sc, huku Yanga kila siku mateso tu hata muelekeo hakuna.
Nguvu kubwa sana unatumia bakisha na ya siku za usoni. Wananchi safari hii tuko vema
 
Haruna majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,juma Abdul majeruhi ikabidi acheze hivyohivyo,tshishimbi majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,Balama ndo hakuwepo kabsaaa! Morrison ulikuwa ushampa dola elfu 5 kuna nini hapo?. Bila janja janja huna kitu
Kwani Simba ndio aliwasababishia majeraha hao majeruhi? Hakukuwapo wachezaji wengine? Mbona Yikpe alikuwapo?
 
Mm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.
Mpuuzi hujielewi
 
Back
Top Bottom