The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Nikwepe nini sasa, invalid kwa kiswahili ni kama sio halali au haipo,, huenda wewe ulinielewa vibaya ila point yangu nilikua namaanisha kua kama ulitufunga goli nne (1 win) mbona na sisi tulikufunga mechi 1 (1 win) na tuka sare 1 overall ina maana wewe ulishinda mechi moja na mimi moja so tupo sawa,, kwa maana hiyo tumelingana ndo nilitumia neno invalid hapo nikimaanisha hivyo,, ila ukiataka kuiongelea hizo goli 4 as if last season nyie tu ndio mliotufunga hapo utakua unajitekenya na kucheka mwenyewe, ndo maana nikasema ukitaka tuongelee kipigo cha 4g alone tunanze na mechi yetu tuliyokupiga moja kwanza.Nataka ufafanuzi wa "invalid" hapo, acha kukwepa
Simba bwana wametafuta katimu wanakokamudu. Halafu uwanja Wa Mkapa tu haujajaa na watakwambia tulijaza hadi uhuru
Mkuu, mbona unaweka post mfululizo, kama vile kuna hofu imekuingia ghafla?UNAPIGA BOMU MOCHWARI HALAFU UNAJISIFU UMEUA!!
Na wewe weka mfululizo mkuu ili ngoma ibalance. I hop Wananchi kesho tutaendelea na majambo yetuMkuu, mbona unaweka post mfululizo, kama vile kuna hofu imekuingia ghafla?
Hao ndo vitalo katika ligi yao
Nguvu kubwa sana unatumia bakisha na ya siku za usoni. Wananchi safari hii tuko vemaPamoja na kwamba mimi ni shabiki nguli wa Yanga Sc lakini kwa pira nililoshuhudia leo natangaza kuhamia Simba Sc, huku Yanga kila siku mateso tu hata muelekeo hakuna.
4-1Hao ndo vitalo katika ligi yao
Wametafuta katimu ka kukafunga halafu wanatupigia keleleHao ndo vitalo katika ligi yao
Haruna majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,juma Abdul majeruhi ikabidi acheze hivyohivyo,tshishimbi majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,Balama ndo hakuwepo kabsaaa! Morrison ulikuwa ushampa dola elfu 5 kuna nini hapo?. Bila janja janja huna kitu
Ni sawa na unampiga search kipofu halafu unajisifia [emoji23].. Poor simba kokoUNAPIGA BOMU MOCHWARI HALAFU UNAJISIFU UMEUA!!
Sahihi[emoji16]Ni sawa na unampiga search kipofu halafu unajisifia [emoji23].. Poor simba koko
Kwani Simba ndio aliwasababishia majeraha hao majeruhi? Hakukuwapo wachezaji wengine? Mbona Yikpe alikuwapo?Haruna majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,juma Abdul majeruhi ikabidi acheze hivyohivyo,tshishimbi majeruhi ikabidi acheze hivyo hivyo,Balama ndo hakuwepo kabsaaa! Morrison ulikuwa ushampa dola elfu 5 kuna nini hapo?. Bila janja janja huna kitu
Mpuuzi hujielewiMm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.
Unapiga bomu mochwari
Munguu!! Hii nini ?? Tafadhali naomba ufafanuziUbwana na utwana ndani ya BongoView attachment 1545269