mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wa Yanga mlisema ni ulimbukeni.Mbona hamjambeba?
Hivi Mtani unaeza kubali kubusiwa miguu na wewe?Mbona hamjambeba?
Hakika hapo wazee wajipange na pia tumempa jezi namba ile aliyokuwa anavaa Makambo.Hapa lazima wazee wapate tabu kumdhibiti huyu Mwamba[emoji3][emoji3][emoji3]
Muda ndio utakaaongea Mkuu.Shadeeya hamna mchezaj humu, mmepigwa
Uliona kilichotokea lakini. π ππDiamond platnumz wabongo wanavyompenda atajaza sana uwanja Wa Mkapa Leo!?
Kuna yule aliyesema asivuliwe nguo jana ndio wamemvua zoote hamna waliyombakisha. πππDiamond platnumz wabongo wanavyompenda atajaza sana uwanja Wa Mkapa Leo!?
Hahahahaaa. Na media tour za kumwaga lakini wappi.Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Mtani umenichoshaaa. π€π€π€Mkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
ππππ Na si ajabu anayeongea yote haya hata viwanja vyenyewe hajui vinafananaje. ππππ.Mm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.
Hahahaaaa. Safari hii imebuma Mkuu.Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leo
Nilichoka mtangazaji akasema uwanja wa Uhuru una washabiki kama mia na. ππππUwanja umejaaa mpaka tunatumia wa uhuru, Manara alisha waona wanasimba viazi sanaaView attachment 1545034
πππ wanasahau kwamba saa hii ukisema mechi ya mwisho ya VPL ya watani sisi ndio vidume kwao.Wewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatu
Moja tume sare
Moja tumekufunga
Moja umetufunga, ukitaka tuongelee 4g yako tuongelee kwanza na ushindi wetu wa goli 1, usitake kujitapa na goli 4 as if sisi hatukukufunga
ππUNAPIGA BOMU MOCHWARI HALAFU UNAJISIFU UMEUA!!
Huyu MTU mtani mpk sasa nakupa Big Thumps UpHakika hapo wazee wajipange na pia tumempa jezi namba ile aliyokuwa anavaa Makambo.
Hivi Mtani unaeza kubali kubusiwa miguu na wewe?
Hahahaaa.Na wewe weka mfululizo mkuu ili ngoma ibalance. I hop Wananchi kesho tutaendelea na majambo yetu
π³π³Pamoja na kwamba mimi ni shabiki nguli wa Yanga Sc lakini kwa pira nililoshuhudia leo natangaza kuhamia Simba Sc, huku Yanga kila siku mateso tu hata muelekeo hakuna.
π€£π€£π€£π€£Ni sawa na unampiga search kipofu halafu unajisifia [emoji23].. Poor simba koko