Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona hamjambeba?
Wa Yanga mlisema ni ulimbukeni.
Haki hapa ni nini Mtani?
20200823_080547.jpg
 
Diamond platnumz wabongo wanavyompenda atajaza sana uwanja Wa Mkapa Leo!?
Kuna yule aliyesema asivuliwe nguo jana ndio wamemvua zoote hamna waliyombakisha. 😂😂😂

Uwanja wa uhuru ulikuwa mtupppu.
 
Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Hahahahaaa. Na media tour za kumwaga lakini wappi.

Walijua kujaza viwanja viwili ni mchezo mchezo kama kumuhonga mchezaji wa timu pinzani ist. 😅😅😅
 
Mm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.
😂😂😂😂 Na si ajabu anayeongea yote haya hata viwanja vyenyewe hajui vinafananaje. 😂😂😂😂.
 
Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leo
Hahahaaaa. Safari hii imebuma Mkuu.

Hamna cha kujaa wala nini mapengo kibao.
 
Wewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatu
Moja tume sare
Moja tumekufunga
Moja umetufunga, ukitaka tuongelee 4g yako tuongelee kwanza na ushindi wetu wa goli 1, usitake kujitapa na goli 4 as if sisi hatukukufunga
😂😂😅 wanasahau kwamba saa hii ukisema mechi ya mwisho ya VPL ya watani sisi ndio vidume kwao.
 
Back
Top Bottom