Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. Lol

Kiasi gani analipwa kwa kubusu mguu mmoja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba kww vyovyote vile kila mguu utakuwa na malipo yake siyo!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ningekuwa kampeni Meneja Wa mwanasiasa Fulani kwenye uchaguzi unaokuja ningemshauri atumie helikopta japo Mara mbili tatu hivi. Hapo ningekuwa nimewin kura zote za wana Simba, mana wenzetu helikopta kwao ni Sapraiz!
 
Mambwa hamjambo? Harakati za maisha zinaendaje huko utopoloni? [emoji23]
 
Daaaaaaah mashabiki wa Utopolo ni washamba, mbona jambo la kawaida sana ilo kwa mtu unayempenda. Acheni ushamba dunia itawashangaa.
Duu kulamba viatu na miguu!!? Ni kawaida kwenu tu ndio mana mnavuana hadi nguo mnaanza kumendeana mendeana nyuma kama hapa. Na Michezo hii ni kawaida kwenu!?
 
Huyu Harmonize a.k.a Konde boy a.k.a Jeshi a.k.a Tembo ni mwananchi kindakindaki kabisaaa mi namjua. Wananchi nawaombeni sana tumsapoti kwa namna yoyote ile huku tukim unfollow diamond na kuachana nae mana kuwashabikia diamond na harmonize kwa pamoja wakati huu utakuwa ni unafiki Mkubwa ilihali sisi wananchi hatujawahi kuwa wanafiki.
 
Duu kulamba viatu na miguu!!? Ni kawaida kwenu tu ndio mana mnavuana hadi nguo mnaanza kumendeana mendeana nyuma kama hapa. Na Michezo hii ni kawaida kwenu!?View attachment 1545999
Sasa wanaommendea nani hao ni walinzi wake, Kweli mambwa mnajua kuropoka.
Hivi namba ya kuchangia ili tununue wachezaji imetoka au bado inaandaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…