Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu[emoji23][emoji23][emoji28] wanasahau kwamba saa hii ukisema mechi ya mwisho ya VPL ya watani sisi ndio vidume kwao.
Ndio!! Mjini mipango bro.Kwamba kww vyovyote vile kila mguu utakuwa na malipo yake siyo!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Hatari mnooo.Wwkachukua viingilio vyetu kisha wakasèpa nazo na kutuachia li screen halina sauti tukaishia kuona watu wanavuana nguo kimyakimya
Lol.Huyu jamaa ni mzima kweli!!!!?
Mi nilidhani ni yule roporopo tuu kumbe haka kamchezo hata big boss!!View attachment 1545762
Hahahaa. Zipo chache Tz hizo helkopta bro hapo lazima kwetu iwe bonge la sapuraizzz. 😂Yaani ningekuwa kampeni Meneja Wa mwanasiasa Fulani kwenye uchaguzi unaokuja ningemshauri atumie helikopta japo Mara mbili tatu hivi. Hapo ningekuwa nimewin kura zote za wana Simba, mana wenzetu helikopta kwao ni Sapraiz!
Umefanya nimecheka Mtani.Mtani hayo mambo ya kawaida, au kwako busu ni jambo la ajabu.
Afu nasikia bado mwenyekiti wenu pamoja na kusajili hao wote na mkawatembeza sana ila bado akilala anamuota BM3?
Afu nasikia bado mwenyekiti wenu pamoja na kusajili hao wote na mkawatembeza sana ila bado akilala anamuota BM3?
Mmmh 🤔🤔🤔Daaaaaaah mashabiki wa Utopolo ni washamba, mbona jambo la kawaida sana ilo kwa mtu unayempenda. Acheni ushamba dunia itawashangaa.
Kwani hiyo mechi inachezwa Uwanja wa Uhuru?Enyi Utopolo de Mkunungu kama mnavyojua tarehe 30 August ni mechi ya Community Shield, mabonanza yasiyo na muhimu hayatapata Coverage siku hiyo.
Ila Msola ni kati ya viongozi goigoi na incompetent kuwahi kutokea Yanga, anachoona yeye ni bakuli tu, hana idea wala vision nyingine, anaiabisha brand ya club kubwa kama Yanga kuombaomba misaada, anatakiwa ajue wanachama wamemuweka pale kutafuta mbinu za kupata vyanzo vya kuipatia club pesa ikiwemo kuiongezea thaman club ipate wadhamin bora, na sio kufuga vitambi na kuilalamikia TFF.Mbona hamtutaji namba ya kuchangia @ Shadeeya
Musola hana skills za management, lipolipo tu yan, likipelekwa huku, kule twende!Ila Msola ni kati ya viongozi goigoi na incompetent kuwahi kutokea Yanga, anachoona yeye ni bakuli tu, hana idea wala vision nyingine, anaiabisha brand ya club kubwa kama Yanga kuombaomba misaada, anatakiwa ajue wanachama wamemuweka pale kutafuta mbinu za kupata vyanzo vya kuipatia club pesa ikiwemo kuiongezea thaman club ipate wadhamin bora, na sio kufuga vitambi na kuilalamikia TFF.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mtani vipi namba ya bakuli we umeipata?
Niliona clip yake Msola mi mwenyewe nilijikuta ananikwaza tu sababu kama tunaenda huko CAS tuende mambo yakishakaa sawa ndo aje azungumze kuliko kuanza kurudisha vitu ambavyo kwa upande wangu sikuona kama upo umuhimu wa yeye kumuongelea huyo Morison ambaye mwisho wa siku naona kama wanampa kiki. 🙁
Namba ya kuchangia bakuli vipi wametoa?Ila Msola ni kati ya viongozi goigoi na incompetent kuwahi kutokea Yanga, anachoona yeye ni bakuli tu, hana idea wala vision nyingine, anaiabisha brand ya club kubwa kama Yanga kuombaomba misaada, anatakiwa ajue wanachama wamemuweka pale kutafuta mbinu za kupata vyanzo vya kuipatia club pesa ikiwemo kuiongezea thaman club ipate wadhamin bora, na sio kufuga vitambi na kuilalamikia TFF.
Mwenyekiti anazingua.[emoji1] [emoji1] [emoji1] mtani vipi namba ya bakuli we umeipata?
Inapoitwa timu ya Wananchi wewe kama Mwananchi ni lazima uwajibike changia klabu yako Acha ujanja ujanja.Mwenyekiti anazingua.