Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Enyi Utopolo de Mkunungu kama mnavyojua tarehe 30 August ni mechi ya Community Shield, mabonanza yasiyo na muhimu hayatapata Coverage siku hiyo.
 
Yaani ningekuwa kampeni Meneja Wa mwanasiasa Fulani kwenye uchaguzi unaokuja ningemshauri atumie helikopta japo Mara mbili tatu hivi. Hapo ningekuwa nimewin kura zote za wana Simba, mana wenzetu helikopta kwao ni Sapraiz!
Hahahaa. Zipo chache Tz hizo helkopta bro hapo lazima kwetu iwe bonge la sapuraizzz. 😂

Mana tukiona sana sana ni ile ya Polisi inayofanyaga doria siku za Sikukuu. 😂😂
 
Mtani hayo mambo ya kawaida, au kwako busu ni jambo la ajabu.
Afu nasikia bado mwenyekiti wenu pamoja na kusajili hao wote na mkawatembeza sana ila bado akilala anamuota BM3?
Umefanya nimecheka Mtani.

Haya nambie we ushawahi mbusu nani miguuni huko uliko?
 
Afu nasikia bado mwenyekiti wenu pamoja na kusajili hao wote na mkawatembeza sana ila bado akilala anamuota BM3?​

Niliona clip yake Msola mi mwenyewe nilijikuta ananikwaza tu sababu kama tunaenda huko CAS tuende mambo yakishakaa sawa ndo aje azungumze kuliko kuanza kurudisha vitu ambavyo kwa upande wangu sikuona kama upo umuhimu wa yeye kumuongelea huyo Morison ambaye mwisho wa siku naona kama wanampa kiki. 🙁
 
Mbona hamtutaji namba ya kuchangia @ Shadeeya
Ila Msola ni kati ya viongozi goigoi na incompetent kuwahi kutokea Yanga, anachoona yeye ni bakuli tu, hana idea wala vision nyingine, anaiabisha brand ya club kubwa kama Yanga kuombaomba misaada, anatakiwa ajue wanachama wamemuweka pale kutafuta mbinu za kupata vyanzo vya kuipatia club pesa ikiwemo kuiongezea thaman club ipate wadhamin bora, na sio kufuga vitambi na kuilalamikia TFF.
 
Musola hana skills za management, lipolipo tu yan, likipelekwa huku, kule twende!
 
[SUB]
20200824_085233.jpg
[/SUB]​
 
Niliona clip yake Msola mi mwenyewe nilijikuta ananikwaza tu sababu kama tunaenda huko CAS tuende mambo yakishakaa sawa ndo aje azungumze kuliko kuanza kurudisha vitu ambavyo kwa upande wangu sikuona kama upo umuhimu wa yeye kumuongelea huyo Morison ambaye mwisho wa siku naona kama wanampa kiki. 🙁
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mtani vipi namba ya bakuli we umeipata?
 
Ila Msola ni kati ya viongozi goigoi na incompetent kuwahi kutokea Yanga, anachoona yeye ni bakuli tu, hana idea wala vision nyingine, anaiabisha brand ya club kubwa kama Yanga kuombaomba misaada, anatakiwa ajue wanachama wamemuweka pale kutafuta mbinu za kupata vyanzo vya kuipatia club pesa ikiwemo kuiongezea thaman club ipate wadhamin bora, na sio kufuga vitambi na kuilalamikia TFF.
Namba ya kuchangia bakuli vipi wametoa?
 
Back
Top Bottom