OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Timu ya Wananchi. Nguvu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anaitwa fahadNa huyu ni naniView attachment 1546901
OkHuyu anaitwa fahad
Amepandishwa timu ya wakubwa.
Unajituma sana mkuu.. Ningekua na madaraka huko juu ningekupa tenda ya kua msemaji wa club, bahati mbaya sina.Tunaanza kuliamsha dude huko. [emoji108][emoji108][emoji108]
Huyu Dogo kiukweli nimemuona mazoezini tu,hata wenzake wanamwita Dogo ila nimeona mdau hapo katolea ufumbuziNa huyu ni naniView attachment 1546901
Shukrani Mkuu. Uuwiiii!! Madaraka tena. Lol.Unajituma sana mkuu.. Ningekua na madaraka huko juu ningekupa tenda ya kua msemaji wa club, bahati mbaya sina.
Naomba kukuuliza personal question, mbali na Yanga una timu yoyote unashabikia huko nchi za watu (Europe)
Hahahaa. Tunaachaje kumbeba eti. 😂Kesho huyu mtoto anaweza kutua na tukaenda kumbeba mgongoni kabisa Mana hata kwa kumuangalia tu kwa you tube kuna kitu kikubwa sana unaweza kukiona kwake. Mimi binafsi nime approve![emoji16][emoji16]View attachment 1546898
😂😂😂Timu ya Wananchi. Nguvu moja
mzee wa gambe[emoji23]yanga mlifeli kwenye kuchagua viongozi, Mwakalibela na Msola wote wazee wa vyombo.Hahisi reactions za Wanayanga kutokubaliana na utaratibu wa kuchangia uliotolewa na Msola umewagusa Viongozi,,ndo maana mpaka leo hii hawajaitangaza hiyo namba ya kuchangia.
Au inawezekana kama unavyosema Mzee kakurupuka tu kutokana na mihemko yake iliyotokana na kelele na hamasa ya mashabiki aliokuwa akiongea nao
Yote kwa yote, ni muhimu suala hili likatolewa ufafanuzi "officially" na uongozi kwani limeleta taharuki na tafrani miongoni mwa mashabiki.Kama litaachwa hivi bila kufafanuliwa linaweza likapunguza morali na muitikio wa mashabiki hiyo tarehe 30/08/2020
Nakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.mzee wa gambe[emoji23]yanga mlifeli kwenye kuchagua viongozi, Mwakalibela na Msola wote wazee wa vyombo.View attachment 1547303
[emoji23][emoji23]Nakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.
Au sijui alikuwa anaizungumzia 1b ipi. [emoji23]
1BIL unadhan n masikharaNakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.
Au sijui alikuwa anaizungumzia 1b ipi. [emoji23]
Ok poa, naona kumbe upo team pendwa.. Basi haina mbaya wote tumeangukia sehemu moja (I'm united fan too) ili kutoharibu themes ya thread naomba niishie hapa.Shukrani Mkuu. Uuwiiii!! Madaraka tena. Lol.
Naipenda Man U japo kwa sasa najiona mapenzi yanapungua. [emoji23]
Hahahaaa. Sio maskhara Mtani na ndio sababu yule wa 20B hataki hata kusikia hizo habari. 😂😂😂😂1BIL unadhan n masikhara
Poa poa Mkuu.Ok poa, naona kumbe upo team pendwa.. Basi haina mbaya wote tumeangukia sehemu moja (I'm united fan too) ili kutoharibu themes ya thread naomba niishie hapa.
Aliahidi 1.5bl. Kaamua kupotezeaNakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.
Au sijui alikuwa anaizungumzia 1b ipi. [emoji23]