Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaaa. Sio maskhara Mtani na ndio sababu yule wa 20B hataki hata kusikia hizo habari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ana ukwasi wa zaid ya Trilion 4, hiyo pesa haiwezi kua kitu kwake

Tuongelee huyu wa kwetu huyu, hiyo pesa anayo kweli?
 
[emoji124]
IMG-20200825-WA0039.jpg

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Yule ana ukwasi wa zaid ya Trilion 4, hiyo pesa haiwezi kua kitu kwake

Tuongelee huyu wa kwetu huyu, hiyo pesa anayo kweli?
Ingekuwa sio kitu kwake angeshaitowaga. Mpaka leo anasubiri nini eti?

Anayo. 😎
 
Huyu ana afadhali, Mo alisema anatoa 20b kama fedha za kununua sehemu ya hisa za Simba. Mpaka sasa hajatoa chochote, akiulizwa anajifanya hajui Kiswahili anapiga Kihindi tu.
Nakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.

Au sijui alikuwa anaizungumzia 1b ipi. [emoji23]
 
Back
Top Bottom