Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Inapoitwa timu ya Wananchi wewe kama Mwananchi ni lazima uwajibike changia klabu yako Acha ujanja ujanja.
mambo ya kuchangia kwa bakuli yameshapitwa na wakati, mim kama mwanachama nachangia club yangu kwenye kulipia card, kuingia uwanjan na kununua jezi na vitu vingine vya club! viongozi aina ya Musola hawahitajiki karne hii ya kidigitali.
 
Timu ya Wananchi hii Mwananchi lazima uichangie timu yako kwa njia yoyote ile njia za kuchangia klabu zipo nyingi hata kuchangia kwa bakuli ni njia mojawapo Mkuu.
 
Sijapinga kuchangia, nnachopinga ni aina ya uchangiaji mkuu, haiwezekan timu kubwa kama yanga inayoongozwa na viongozi wanajiita wasomi, wanashindwa kufanya mambo yao kisomi kwa kuweka system ya kisasa na kuhamasisha wanachama wao walipie ada za card, wasajili wanachama wapya, watumie usomi wao kuongeza thaman ya club, timu ipate wadhamin bora nk, na sio kuhamasisha mashabiki waichangie timu kienyeji kama misiban au ombaomba mitaan.
 
Hata mie nashangaa ujue nadhani ni mbinu za kujipatia kipato tu hapo na si kingine.
 
HATUCHEZAGI NA TIMU ZA MIKIANI SISI. 🤣🤣🤣
20200824_141442.jpg

Tooobaaa. 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mwenyekiti hazingui mtani yeye ndo anaijua vizuri account ya Utopolo.
Acha tu tuchangie mtani mi namuunga mkono mwenyekiti. Mi nawaunga mkono watani zangu tupeni namba tuchangie
Ahsante!! Nimeipokea kwa mikono miwili kejeli yako Mtani. 😅
 
Msola ashauriwe, siyo lazima kukamilisha wachezaji 10, GSM wamesajili kwa kuziba mapungufu yote ya kikosi na wamefanya hivyo ili kusiwe na maproo wa kukaa benchi na kuongezea club gharama, sasa Msola kakurupuka huko na kuanza kuhamasisha michango ya kuongezea timu mzigo, ukifika mda wa kuwalipa hao maproo anakimbia!
 
hamna viongozi pale!
 
Kesho huyu mtoto anaweza kutua na tukaenda kumbeba mgongoni kabisa Mana hata kwa kumuangalia tu kwa you tube kuna kitu kikubwa sana unaweza kukiona kwake. Mimi binafsi nime approve![emoji16][emoji16]
IMG-20200824-WA0033.jpg
 
Msola ashauriwe, siyo lazima kukamilisha wachezaji 10, GSM wamesajili kwa kuziba mapungufu yote ya kikosi na wamefanya hivyo ili kusiwe na maproo wa kukaa benchi na kuongezea club gharama, sasa Msola kakurupuka huko na kuanza kuhamasisha michango ya kuongezea timu mzigo, ukifika mda wa kuwalipa hao maproo anakimbia!

Hahisi reactions za Wanayanga kutokubaliana na utaratibu wa kuchangia uliotolewa na Msola umewagusa Viongozi,,ndo maana mpaka leo hii hawajaitangaza hiyo namba ya kuchangia.

Au inawezekana kama unavyosema Mzee kakurupuka tu kutokana na mihemko yake iliyotokana na kelele na hamasa ya mashabiki aliokuwa akiongea nao

Yote kwa yote, ni muhimu suala hili likatolewa ufafanuzi "officially" na uongozi kwani limeleta taharuki na tafrani miongoni mwa mashabiki.Kama litaachwa hivi bila kufafanuliwa linaweza likapunguza morali na muitikio wa mashabiki hiyo tarehe 30/08/2020
 
Back
Top Bottom