Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

bumbuli anatwambia sound check ya harmo kashuka na chopa alafu tukisema hawa utopolo mnakuja juu kama moto wa kifuu
 
bumbuli anatwambia sound check ya harmo kashuka na chopa alafu tukisema hawa utopolo mnakuja juu kama moto wa kifuu
Eti wanasema kaiga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakati yule alishuka nayo kuwasapuraiz 5imba mana hawajuagi helikoputa. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…