Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hizo ziache zibakie za kusikia tu Mtani ila zile zenyewe zinasema tu kwamba mzigo umechelewa kufika.Bado nasikia, ndiyo maana wameacha kwanza kuuza hizi mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ziache zibakie za kusikia tu Mtani ila zile zenyewe zinasema tu kwamba mzigo umechelewa kufika.Bado nasikia, ndiyo maana wameacha kwanza kuuza hizi mpya.
Hizo ziache zibakie za kusikia tu Mtani ila zile zenyewe zinasema tu kwamba mzigo umechelewa kufika.
Yanga taifa kubwaHIZI NI SHAMRA SHAMRA TU
Kweli Yanga ni timu ya wananchi, naona uzi wao umedoda Kyle wana amia uku[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie ni yanga mlio jichanganya kuwa wanyama tu
Eti wanasema kaiga. 😂😂😂bumbuli anatwambia sound check ya harmo kashuka na chopa alafu tukisema hawa utopolo mnakuja juu kama moto wa kifuu